Kidotulotokordwak
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 286
- 43
SORRY KWA YALIYOKUPATA ila kabla hujabadili lazima uangalie mambo yafuatayo?
1. ulichagua course hizo kwa sababu ilikuwa ni interest yako ya kusoma na uliangalia future zake kuwa utafika mbali
sasa leo hii unataka kubadili kwa sababu hakuna uwezekano wa kupata mkopo na vitu vingine je unataka kuchagua kitu ambacho hukipendi bali tu kwa sababu ya kupata mkopo? please naomba usijaribu hicho kitu kitakuja kukusumbua maishani mwako maana hata hawa waalimu asilimia kubwa hawakupenda kuwa waalimu kwa sababu walilzimisha ili wapate mkopo hatimaye wanaishi kwa kuumia moyoni maisha yao yote.
nashukuru mungu nikiwa mdogo niko nafikiri la tano nilikuwa natamani sana watu flani wanavaa tie very smart nikawa nimesema na mimi niwe hivyo. ngoma ilikuwa ni kwenye hesabu secondary ilikuwa inanipiga chenga ila nilijitahidi sana ili tu nifikie lengo langu nikalifaulu nikaenda mpka mwisho now nashukuru kazi nayoifanya huku ni kazi ambayo nilikuwa naitamani maishani hakuna raha kama hiyo asikuambie mtu maana job its self can be one of motivation to work hard on it. naomba ukabiliane na changamoto zilizopo chuoni maana chuo hujaenda kusoma tu na vile vile kujifunza kupambana na maisha pale yatakapoenda kombo so i wish all the best.
ila tatizo ni uwezo wa kumudu izo gharama,je ni kwel kuwa non priority haina mkopo kabisa?