GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ni Mchezaji ambaye sijui Mpuuzi gani ndani ya Simba SC alishauri atolewe kwa Mkopo.
Said Hamis Ndemla ni Kiungp mwenye Kipaji kikubwa cha Soka na ana Faida kadhaa Kukaba, Kupiga Mashuti ni mzuri katika namba zote za Kiungo ile ya Sita na Nane na huzitendea haki.
Anaondoka Mkude niliyemlea Mwenyewe Biafra, Kawe na Tandale sasa anajuna Mdogo wangu Ndemla niliyemlea Mwenyewe Viwanja vya Barafu, Kinesi na Kitaani Migo Migo ( Magomeni )
Naomba arudishwe kweli SSC.