GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na Wabongo tuna Chuki za Kipumbavu, Ushamba na Wivu usio na Kichwa wala Miguu.Wabongo tunapenda sana sifa!!
Mpaka anafikiriwa Kurejeshwa ina maana kaonekana Kaimarika na nimetaarifiwa kuwa Kocha Mwenyewe ndiyo Kampendekeza.Ana tabia ya kutaka kila mara kupiga mashuti sehemu ambayo alitakiwa atoe pasi mbaya zaidi mashuti ni ya hovyo. Kiukweli ni mchezaji wa kawaida na alipokuwa Simba alipewa nafasi na hakuna maajabu alionyesha labda kama ameimprove
Kaimarika kuliko Wengi wenu mnavyojua.Ndemla anachoweza ni kupiga mashuti Nje ya uwanja.
Anamadhaifu YAFUATAYO.
1. ANACHEZA sehemu ndogo sana uwanjani yani anakimbia kilomita 5 wakati Mzamiru anakimbia 16 kilometa.
2. Uwezo wake wa kukaba ni mdogo mno. Kupora MIPIRA.
3. Mwili wake ni mwepezi mno kucheza kwenye Eneo gumu kama Katikati ya uwanja.
4. Hana sifa ya Box to box midfielder kama Akina kanute Mzamiru na Bajana.
Mzawa atakayerudishwa ni Hassan Dilunga labda na Duchu.
Nakubaliana na wewe lakini nadhani hili ni tatizo la makocha kuliko yeye maana anatakiwa kufuata maelekezo ya Kocha tu. Hata Feisal ana tatizo Hilo nyakati Fulani mbona amejirekebisha?Ana tabia ya kutaka kila mara kupiga mashuti sehemu ambayo alitakiwa atoe pasi mbaya zaidi mashuti ni ya hovyo. Kiukweli ni mchezaji wa kawaida na alipokuwa Simba alipewa nafasi na hakuna maajabu alionyesha labda kama ameimprove
Huyu mchezaji anasifika kwa kupiga mashuti, cha ajabu mashuti yake akipiga 10 moja tuu ndio linalenga goliNi Mchezaji ambaye sijui Mpuuzi gani ndani ya Simba SC alishauri atolewe kwa Mkopo.
Said Hamis Ndemla ni Kiungp mwenye Kipaji kikubwa cha Soka na ana Faida kadhaa Kukaba, Kupiga Mashuti ni mzuri katika namba zote za Kiungo ile ya Sita na Nane na huzitendea haki.
Anaondoka Mkude niliyemlea Mwenyewe Biafra, Kawe na Tandale sasa anajuna Mdogo wangu Ndemla niliyemlea Mwenyewe Viwanja vya Barafu, Kinesi na Kitaani Migo Migo ( Magomeni )
Naomba arudishwe kweli SSC.
Naunga mkono hii hoja, ana ujinga mwingi hasa huo wa kupiga mashuti yanayopaa.Ana tabia ya kutaka kila mara kupiga mashuti sehemu ambayo alitakiwa atoe pasi mbaya zaidi mashuti ni ya hovyo. Kiukweli ni mchezaji wa kawaida na alipokuwa Simba alipewa nafasi na hakuna maajabu alionyesha labda kama ameimprove
Na unaweza kuta mashuti hayo anayosifiwa ligi nzima ana goli mbiliHuyu mchezaji anasifika kwa kupiga mashuti, cha ajabu mashuti yake akipiga 10 moja tuu ndio linalenga goli
Hamna mchezaji hapoNa unaweza kuta mashuti hayo anayosifiwa ligi nzima ana goli mbili
Makocha wangapi wamepita Simba na wakawa wanamwacha ni tatizo lake hata Singida mechi nyingi walikuwa wanamweka benchiNakubaliana na wewe lakini nadhani hili ni tatizo la makocha kuliko yeye maana anatakiwa kufuata maelekezo ya Kocha tu. Hata Feisal ana tatizo Hilo nyakati Fulani mbona amejirekebisha?