Kama ni kweli ninapinga kwa Papi Ousmane Sakho 'Kutemwa' Simba SC

Kama ni kweli ninapinga kwa Papi Ousmane Sakho 'Kutemwa' Simba SC

Umesahau nguvu ni muhimu sana
Soka la kisasa duniani linahitaji kasi na maarifa. ..Sakho anavyo.....tumpe muda.
Ugonjwa wa simba upo kwa mtu awezaye kutengeneza na kulisha strikers kwa haraka haraka .Bwalya talented but slow....
Simba rekebisheni hapo halafu muone who is Sakho and Banda...
 
Nikimwangalia Pape ousmane sakho aina yake ya uchezaji na spirit ya upambanaji anapokua uwanjani, inanijia taswira ya Jose Luis miquissone. Simba wasifanye makosa ya kumuacha huyu mwamba anahitaji muda kidogo tu kuprove uwezo wake.
Hakuna kitu apo
 
Acha kunipotezea muda Pumbavu Wewe sawa? Leta hapa Ushahidi wa post yangu yoyote au Uzi wangu wowote ambao GENTAMYCINE nilijinasibu kuwa ni TISS AGENT ( USALAMA WA TAIFA ) ili wanikamate upesi sana kwa 'impersonation case' sawa?

Na kukuonyesha kuwa najiamini kwa Taarifa yako kuna Seniors Wawili ( Wakurugenzi wa Idara fulani Mbili ) huko na Agents / Field Officers Watano wananijua 'personally' GENTAMYCINE ( kama walivyo pia Wastaafu Waandamizi wengine huko ) mpaka na hii ID yangu hapa JamiiForums tena hadi ninapoishi hivyo wakitaka Kunikamata ni rahisi na kwa Sekunde chache mno.

Kuhusu Mimi kujifanya najua mengi wala hujakosea hivi kwa Mtu anayesoma sana, anafuatilia Taarifa mbalimbali ( za Habari hadi Nyinginezo ) na ni Mtu wa kupenda Kujichanganya Vijiweni na Kwingineko kuwa 'Knowledgeable' na 'Well Informed' ni tatizo au ubaya Kwako?

Mlaumu Mungu kukupa Upumbavu huo.
Wanakujua sababu unawapaga tako
 
Soka la kisasa duniani linahitaji kasi na maarifa. ..Sakho anavyo.....tumpe muda.
Ugonjwa wa simba upo kwa mtu awezaye kutengeneza na kulisha strikers kwa haraka haraka .Bwalya talented but slow....
Simba rekebisheni hapo halafu muone who is Sakho and Banda...
Ingekua football is always about speed and sharpness busquet asingecheza mpira
 
Aiseee apo kwenye viongozi panakera sanaaa yaani unakuta kiongozi mkubwa kama Mangungu anaongea maneno ya khanga mbele ya waandishi wa habari kitendo icho kinakera sanaaaa, kiongozi anapaswa kuongea vitu vya msingi kuhusu timu sio makelele kelele tu utadhani shabiki.
Naunga hoja sakho na Banda wale Ni hazina kwa Simba ,hata wanaosema atemwe Banda hawana jicho la mbali ,hao wote wawil Ni talented pia umri wao unaruhusu Sana ,wapewe muda wa kutosha watatusaidia mbelen , hata Duncan sio mchezaj wa kuachwa kizembe.

Wakutemwa hapa Ni Hawa
Wawa
Kagere
Hawa Ni kimataifa .
Kibongo bongo wakutemwa Ni
Bocco
Nyoni
Gadiel
Kakolanya

Hao ndio hawana msaada kwa Simba ya Sasa yenye malengo ya kimataifa ,wengine wote wako fresh kabisa isipokua Kibu apewe program maalum kumfanyia councelling apunguze pupa akipata mpira awe mtulivu ,hii program imhusu na Mugalu pia.

Bench la ufundi toa yule Mrundi Hitmana maana anakula pesa ya bure tu pale msimbazi.
Wahamasishaji toa Mwijaku Tena akae mbali na Simba kabisa.
Msemaji wa Timu atafutwe mwenye Busara Simba ya Sasa sio ya kuwa na msemaji dizain ya manara ,mchukueni hata Masaubwire yule bro Ana busara Sana .
Upande wa viongoz ,Mangungu apewe semina ya Nini maana ya kiongoz mkubwa kwenye club kubwa Kama Simba ,apunguze kuharisha hovyo hovyo mbele ya kamera pia aache habar za kuwawazia wapinzan pind anapofafanua Jambo.
Kwa Leo Ni hayo tu
 
Aiseee apo kwenye viongozi panakera sanaaa yaani unakuta kiongozi mkubwa kama Mangungu anaongea maneno ya khanga mbele ya waandishi wa habari kitendo icho kinakera sanaaaa, kiongozi anapaswa kuongea vitu vya msingi kuhusu timu sio makelele kelele tu utadhani shabiki.
Kumbuka nae pia ni Binadamu na kuna muda TFF wanafanya Mambo ya Kipumbavu ( Kipopoma ) kiasi kwamba hata huwezi Kuwavumilia.

Tena afadhali Yeye Mwenyekiti Mangungu huwa akikasirika anaishia tu kutoa hayo maneno ya katika Khanga ila ningekuwa ni Mimi GENTAMYCINE kwa Hasira zangu Kali na Mbaya za Kizanaki na Kimakuwa ( bila kusahau na zile za Kitutsi ) ningekuwa nawapiga mno Ngumi na Kuwawamba sana Vibao.

Wanakera!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeee

Back
Top Bottom