tena unachinjwa taratibu.....huku unanyofolewa utumbo na kucha......
bora ukae hivyo hivyo....usije ukachinjwa mwanakwetu........
tena unachinjwa taratibu.....huku unanyofolewa utumbo na kucha......
bora ukae hivyo hivyo....usije ukachinjwa mwanakwetu........
Una umli gani?Inasemekana kuwa mwanamke ana roho mbaya kuliko mwanaume,mfano: katika suala la kuua/kutoa uhai ukiwakabidhi visu ambacho ni butu na chenye makali mwanamke atachukua butu ili akuchinje taratibu ukiteseka tofauti na mwanaume atakayekuua na chenye makali haraka,hii imekaaje wakuu?nawasilisha
hahaha....... i like itWell.. yes some women can do that and much worse IF you provoke them but normaly we are loving& tender creatures , so DO NOT scare the hell out of a woman!! remember Sir Isac Newton For every action, there is an equal and opposite reaction
Inasemekana kuwa mwanamke ana roho mbaya kuliko mwanaume,mfano: katika suala la kuua/kutoa uhai ukiwakabidhi visu ambacho ni butu na chenye makali mwanamke atachukua butu ili akuchinje taratibu ukiteseka tofauti na mwanaume atakayekuua na chenye makali haraka,hii imekaaje wakuu?nawasilisha
nani amekuambia na aliyekuambia ana jinsia ipi unaweza ukanitajia umri wako tafadhariInasemekana kuwa mwanamke ana roho mbaya kuliko mwanaume,mfano: katika suala la kuua/kutoa uhai ukiwakabidhi visu ambacho ni butu na chenye makali mwanamke atachukua butu ili akuchinje taratibu ukiteseka tofauti na mwanaume atakayekuua na chenye makali haraka,hii imekaaje wakuu?nawasilisha
Duh! Mbona mnatuonea wanawake!
tena unachinjwa taratibu.....huku unanyofolewa utumbo kwa kucha......
bora ukae hivyo hivyo....usije ukachinjwa mwanakwetu........