Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Naambiwa kuwa mikoa/ Wilaya/ kata/ vijiji vyote tanzania vina Imani za Ushirikina/uchawi
Ndugu kama huo ndiyo ukweli kuwa Imani hizo za Ushirikina ziko maeneo yote nchini,
Swali langu kwanini baadhi ya Mikoa
imepiga hatua kubwa kimaendeleo na watu wake wamestawi kuliko wengineo?
Imetoa wasomi na inaendelea kutoa wasomi wengi zaidi kuliko mingine?
Ndugu zangu mada hii ni nyeti sana hivyo ni vema ukatafakari kabla ya kutoa maoni yako.
Niwatakie sabato njema