#COVID19 Kama ni kweli waliochanja chanjo ya Corona hawazidi laki 4 hadi sasa basi Waziri wa Afya na Naibu wake wajiuzulu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nimemsikia msemaji wa serikali akisema waliochanjwa chanji ya covid 19 hadi sasa ni watanzania laki 3 na ushee, hii ni chini ya 50% ya chanjo zilizoletwa zaidi ya mwezi sasa.

Kama takwimu hizi ni sahihi basi Wizara ya afya inafeli sana.

Nini kifanyike?

Kwako mwanabodi.....!
 
Kwanini Waziri badala ya alieileta

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Aliyepitisha chanjo bila kutathmini utayari wa wananchi kuipokea ndiye anayepaswa kuachia ngazi.

Laniki yawezekana waziri na naibu waziri wamekula njama waihujumu kampeni ya chanjo. Mimi sijui.
 
Nimemsikia msemaji wa serikali akisema waliochanjwa chanji ya covid 19 hadi sasa ni watanzania laki 3 na ushee, hii ni chini ya 50% ya chanjo zilizoletwa zaidi ya mwezi sasa.

Kama takwimu hizi ni sahihi basi Wizara ya afya inafeli sana.

Nini kifanyike?

Kwako mwanabodi.....!
Tatizo tangu mwanzo wa hii pandemic kwetu hapa Tz suala hili lilichukuliwa kisiasa zaidi na kiimani badala ya kuchukuliwa kisayansi zaidi, that was a big mistake na ndio hilo linaitesa serikali na wizara yake ya afya, na litaendelea kuitesa serikali kwa sababu baadhi ya wanasiasa wameshalifanya tatizo hili la corona kuwa ni mtaji wao wa kujipatia umaarufu zaidi na zaidi,
 
Suala la chanjo limekuja wakati ambao serikali awali iliwaambia watu wake kuwa chanjo si salama.

Hao hao wamegeuka wanaanza kusema chanjo ni nzuri, utata wa kauli zao umefanya wananchi kusimamia kile wanachokiamini.

Suala la afya tuliliweka kisiasa sana sasa kuitoa ile siasa ndani ya wizara hiyo ni kazi ngumu.
 
Nimemsikia msemaji wa serikali akisema waliochanjwa chanji ya covid 19 hadi sasa ni watanzania laki 3 na ushee, hii ni chini ya 50% ya chanjo zilizoletwa zaidi ya mwezi sasa.

Kama takwimu hizi ni sahihi basi Wizara ya afya inafeli sana.

Nini kifanyike?

Kwako mwanabodi.....!
Kinachotakiwa kufanyika ni kuondoa chama cha ccm madarakani.
 
Huo ni ushahidi kuwa kwa sasa serikali haina ushawishi tena kwa umma, wanachoweza ni kupora fedha za wananchi kwa njia ya tozo bila makubaliano.
Makubaliano yalifanyika kupitia mbunge wako!
 
Yaani wangeleta dawa ya kunywa au vidonge watu wengi wangekuwa wamekula hizo dawa lakini suala la kuchoma sindano ni mtihani mkubwa kwa watu wengi
 
Tatizo tangu mwanzo wa hii pandemic kwetu hapa Tz suala hili lilichukuliwa kisiasa zaidi na kiimani badala ya kuchukuliwa kisayansi zaidi, that was a big mistake na ndio hilo linaitesa serikali na wizara yake ya afya, na litaendelea kuitesa serikali kwa sababu baadhi ya wanasiasa wameshalifanya tatizo hili la corona kuwa ni mtaji wao wa kujipatia umaarufu zaidi na zaidi,
Sayansi inatakiwa izidi hiyo siasa
 
Back
Top Bottom