johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwanini Waziri badala ya alieiletaNimemsikia msemaji wa serikali akisema waliochanjwa chanji ya covid 19 hadi sasa ni watanzania laki 3 na ushee, hii ni chini ya 50% ya chanjo zilizoletwa zaidi ya mwezi sasa.
Kama takwimu hizi ni sahihi basi Wizara ya afya inafeli sana.
Nini kifanyike?
Kwako mwanabodi.....!
Hatuitaki hiyo ya Johnson and Johnson.Jf Ina members Zaidi ya laki tano! Tumeshindwa nini kukumalizia hizo chanjo?
Tatizo tangu mwanzo wa hii pandemic kwetu hapa Tz suala hili lilichukuliwa kisiasa zaidi na kiimani badala ya kuchukuliwa kisayansi zaidi, that was a big mistake na ndio hilo linaitesa serikali na wizara yake ya afya, na litaendelea kuitesa serikali kwa sababu baadhi ya wanasiasa wameshalifanya tatizo hili la corona kuwa ni mtaji wao wa kujipatia umaarufu zaidi na zaidi,Nimemsikia msemaji wa serikali akisema waliochanjwa chanji ya covid 19 hadi sasa ni watanzania laki 3 na ushee, hii ni chini ya 50% ya chanjo zilizoletwa zaidi ya mwezi sasa.
Kama takwimu hizi ni sahihi basi Wizara ya afya inafeli sana.
Nini kifanyike?
Kwako mwanabodi.....!
Tuanzie na wabunge Kwanza maana wanawafukuza wanaopinga chanjo, waliobaki iwe lazima wadungwe JJ.Jf Ina members Zaidi ya laki tano! Tumeshindwa nini kukumalizia hizo chanjo?
Kinachotakiwa kufanyika ni kuondoa chama cha ccm madarakani.Nimemsikia msemaji wa serikali akisema waliochanjwa chanji ya covid 19 hadi sasa ni watanzania laki 3 na ushee, hii ni chini ya 50% ya chanjo zilizoletwa zaidi ya mwezi sasa.
Kama takwimu hizi ni sahihi basi Wizara ya afya inafeli sana.
Nini kifanyike?
Kwako mwanabodi.....!
Humu wengi ni chadema na wote wamechanjwa!Jf Ina members Zaidi ya laki tano! Tumeshindwa nini kukumalizia hizo chanjo?
Makubaliano yalifanyika kupitia mbunge wako!Huo ni ushahidi kuwa kwa sasa serikali haina ushawishi tena kwa umma, wanachoweza ni kupora fedha za wananchi kwa njia ya tozo bila makubaliano.
Nadhani ile hotuba yake ya mwisho pale St Peters kabla hajatwaliwa wananchi waliielewa sana!Magu!
Magu!
Magu!
Kama idadi ni ndogo kiasi hicho basi wafuasi wa chadema siyo watiifu kwa mwenyekiti wao. Mwenyekiti kabla hajawekwa lupango alisema chanjo ni lazima, kwa nini wanachadema wote hawajaitikia agizo la mwenye kigoda? Au chadema ina wanachama chini ya laki 3?Humu wengi ni chadema na wote wamechanjwa!
Sayansi inatakiwa izidi hiyo siasaTatizo tangu mwanzo wa hii pandemic kwetu hapa Tz suala hili lilichukuliwa kisiasa zaidi na kiimani badala ya kuchukuliwa kisayansi zaidi, that was a big mistake na ndio hilo linaitesa serikali na wizara yake ya afya, na litaendelea kuitesa serikali kwa sababu baadhi ya wanasiasa wameshalifanya tatizo hili la corona kuwa ni mtaji wao wa kujipatia umaarufu zaidi na zaidi,