johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Nadhani wanachama wa Chadema ni chini ya laki 1.Kama idadi ni ndogo kiasi hicho basi wafuasi wa chadema siyo watiifu kwa mwenyekiti wao. Mwenyekiti kabla hajaswekwa lupango alisema chanjo ni lazima, kwa nini wanachadema wote hawajaitikia agizo la mwenye kigoda? Au chadema ina wanachama chini ya laki 3?
Sio tunamshukuru kwa kuleta chanjo. Binafsi nimechanjwa. Kama mnaona mnamkomesha mama kwa kutochanjwa basi endeleeni.Aliyepitisha chanjo bila kutathmini utayari wa wananchi kuipokea ndiye anayepaswa kuachia ngazi.
Laniki yawezekana waziri na naibu waziri wamekula njama waihujumu kampeni ya chanjo. Mimi sijui.
Mimi nikisafiri kwenda nje ya nchi nitachanja huko huko. Tanzania kuna utapeli mwingi sana. Kama wanaweza kuendesha chaguzi feki, na kutangaza mapato feki huku kiuhalisia siyo watashindwa kutupiga chanjo feki?Siso tumamshukuru kwa luleta chanjo. Binafsi nimechanjwa. Kama mnaona mnamkomesha mama kwa kutochanjwa basi endeleeni.
Makubaliano yalifanyika kupitia mbunge wako!
Umenikumbusha kitu kwenye masoko watu wameshika lile la Kwanza, hivyo usishangae hata kwenye biashara anaeanza ndio ana advantage mfano Akina Vodacom etc.Suala la chanjo limekuja wakati ambao serikali awali iliwaambia watu wake kuwa chanjo si salama.
Hao hao wamegeuka wanaanza kusema chanjo ni nzuri, utata wa kauli zao umefanya wananchi kusimamia kile wanachokiamini.
Suala la afya tuliliweka kisiasa sana sasa kuitoa ile siasa ndani ya wizara hiyo ni kazi ngumu.
Na wewe Kama unachanja ili utukomeshe sisi endeleaSiso tumamshukuru kwa luleta chanjo. Binafsi nimechanjwa. Kama mnaona mnamkomesha mama kwa kutochanjwa basi endeleeni.
Haifai kuwatoa hao pekee yao kuwa kafara,ila ccm yote,kwani kwa umoja wao waliendesha kampeni kupinga uwepo wa korona na hatimae kukataa hatua za kitaalamu za Kinga kwa kuhamasisha kutokuwa na hofu,na kuhamasisha kwa kipindi fulani kuwa chanjo sii salama,Bila kuwa na ushahidi wa kitabibu juu ya hoja zao.Nimemsikia msemaji wa serikali akisema waliochanjwa chanji ya covid 19 hadi sasa ni watanzania laki 3 na ushee, hii ni chini ya 50% ya chanjo zilizoletwa zaidi ya mwezi sasa.
Kama takwimu hizi ni sahihi basi Wizara ya afya inafeli sana.
Nini kifanyike?
Kwako mwanabodi.....!
Kweli,nchi nyingine ziliteketeza chanjo baada ya kugundua zime expire.Mimi nikisafiri kwenda nje ya nchi nitachanja huko huko. Tanzania kuna utapeli mwingi sana. Kama wanaweza kuendesha chaguzi feki, na kutangaza mapato feki huku kiuhalisia siyo watashindwa kutupiga chanjo feki?
Wewe chanja tu. Mimi nitaenda kule kunakoaminika nikachanje huko. Hapa hata wakisema wameleta Moderna au Pfizer sitaziamini.
Haiwezekani watu walioleta tatizo kwa ujinga wao walitatue tena wao. Na mbaya zaidi hawakuomba radhi kuwa mwanzoni walikosea. Anyways, hili suala la chanjo ni uamuzi wa mtu binafsi. Wanasiasa wengi wenye umri mkubwa au magonjwa nyemelezi kama kina Ndugai walishachanja zamani hivyo hawawezi kuhangaika sana. Hata mama Samia mwenyewe ukiambia alikuwa hajachanjwa nitakataa. Iliyobaki ni jukumu la watu wenye elimu kuhimiza watu wao wa karibu hasa wale waliyo kwenye umri zaidi ya miaka 35 au wenye magonjwa nyemelezi kuchanjwa kwani faida ni kwa mtu mwenyewe. Walikufa na wanaendelea kufa wengi kwa korona na serikali hainyeshi kushtuka hivyo mtu asipochanjwa ni yeye mwenyewe anajikomoa.Tatizo tangu mwanzo wa hii pandemic kwetu hapa Tz suala hili lilichukuliwa kisiasa zaidi na kiimani badala ya kuchukuliwa kisayansi zaidi, that was a big mistake na ndio hilo linaitesa serikali na wizara yake ya afya, na litaendelea kuitesa serikali kwa sababu baadhi ya wanasiasa wameshalifanya tatizo hili la corona kuwa ni mtaji wao wa kujipatia umaarufu zaidi na zaidi,
Chanjo ni hiari we bwege.Nimemsikia msemaji wa serikali akisema waliochanjwa chanji ya covid 19 hadi sasa ni watanzania laki 3 na ushee, hii ni chini ya 50% ya chanjo zilizoletwa zaidi ya mwezi sasa.
Kama takwimu hizi ni sahihi basi Wizara ya afya inafeli sana.
Nini kifanyike?
Kwako mwanabodi.....!
Kamanda mwenzangu leo upo sawa. Lakini hii chanjo itakukinga?iso tumamshukuru kwa luleta chanjo. Binafsi nimechanjwa. Kama mnaona mnamkomesha mama kwa kutochanjwa basi endeleeni.
Mama pia yeye hajachanja, yeye atakuwa anamkomoa nani?
Akachanje huyo huyo mbunge wako sasa!Makubaliano yalifanyika kupitia mbunge wako!
Kamanda mbwakachoka!Chanjo ni hiari we bwege.
Tulia we kada wa CcmKamanda mbwakachoka!
Akachanje na ya pili, na booster za kila miezi 3 bado zinamsubiri!Na wewe Kama unachanja ili utukomeshe sisi endelea
Ha ha ha haaa! Labda ni waziri.