#COVID19 Kama ni kweli waliochanja chanjo ya Corona hawazidi laki 4 hadi sasa basi Waziri wa Afya na Naibu wake wajiuzulu

CCM inawanachama zaid ya million 12 nchi nzima.

Nasikitika Sana,
Hawa makada wanaokihujumu chama kwa kugoma kuchoma chanjo[emoji3525]
 
Halafu bado kuna watu wa nategemea movie ya Maza ya Royal Tour italeta watalii.... Labda wale Watalii ngangali kama Watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…