Umeandika ujingaujinga.Hao wanamtandao wako washenzi Kwani wamekufa au wameacha kuibiruza nchi?Kalae paka wewe!Kwa kumbukumbu zangu, zoezi la kuandikisha NIDA lilianza mwezi Septemba 2015, wakati Rais Jakaya Kikwete anamaliza muda wake na Rais John Magufuli pamoja na Polepole, Kakurwa na wazalendo wengine wakiingia Ikulu. Hata hivyo, matumizi makubwa ya mfumo huu yalianza zaidi katika kipindi cha Magufuli, hasa kwenye uchaguzi wa awamu ya pili mwaka 2020. Kufikia mwaka 2025 bado wananchi wengi hawakuwa wamefikiwa na zoezi hili, kwa kuwa lilikuwa linafanyika kwa awamu za maeneo.
Iwapo madai ya Polepole yana ukweli, basi “wait” ndio wahuni namba moja, siyo “wanamtandao” anaowataja. Wao ndio wa kwanza kutumia vibaya mfumo wa NIDA kupindua matokeo, jambo ambalo ushahidi wake upo wazi. Kumbuka, awamu ya Msoga (Kikwete) ndio awamu pekee ambayo ilishuhudia wapinzani wengi zaidi bungeni na Bunge kuwa moto kuliko kipindi chochote. Lakini awamu ya Magufuli na Polepole ndio iliyowaondoa wabunge wote wa upinzani bungeni, kwa kutumia mfumo waliouasisi wa NIDA + NEC + CCM (Polepole).
Bila shaka, mabadiliko anayoyafanya Rais Samia — ya kuanzisha INEC — ndio yanayomtatiza Polepole. Anataka wao waingie ili waendeleze wizi wa kura na ubabe uliopitiliza. Hii pia inaimarisha hoja za tetesi kwamba mama (Samia) aliwahi kuwa na msimamo mkali dhidi yao, na hata alijaribu kujitoa kwenye nafasi ya umakamu, lakini alishinikizwa kubaki.
Bila shaka, mama anatubu makosa ya awali kwa kuahidi kupitia ilani ya CCM kuleta Katiba Mpya. Hiyo ndiyo itakuwa toba ya kweli kwa mama na kwa CCM. Hakuna mwingine anayeweza kuleta Katiba Mpya sasa kwa kuwatenga CCM.
Kwa mantiki hiyo, Polepole apuuzwe tu. Ana masilahi binafsi, siyo ya taifa.
Mimi NIDA nilijiandikisha mwaka 2012 nikiwa chang'ombe Temeke mkoa wa Dar es salaam.Kwa kumbukumbu zangu, zoezi la kuandikisha NIDA lilianza mwezi Septemba 2015, wakati Rais Jakaya Kikwete anamaliza muda wake na Rais John Magufuli pamoja na Polepole, Kakurwa na wazalendo wengine wakiingia Ikulu. Hata hivyo, matumizi makubwa ya mfumo huu yalianza zaidi katika kipindi cha Magufuli, hasa kwenye uchaguzi wa awamu ya pili mwaka 2020. Kufikia mwaka 2025 bado wananchi wengi hawakuwa wamefikiwa na zoezi hili, kwa kuwa lilikuwa linafanyika kwa awamu za maeneo.
Iwapo madai ya Polepole yana ukweli, basi “wait” ndio wahuni namba moja, siyo “wanamtandao” anaowataja. Wao ndio wa kwanza kutumia vibaya mfumo wa NIDA kupindua matokeo, jambo ambalo ushahidi wake upo wazi. Kumbuka, awamu ya Msoga (Kikwete) ndio awamu pekee ambayo ilishuhudia wapinzani wengi zaidi bungeni na Bunge kuwa moto kuliko kipindi chochote. Lakini awamu ya Magufuli na Polepole ndio iliyowaondoa wabunge wote wa upinzani bungeni, kwa kutumia mfumo waliouasisi wa NIDA + NEC + CCM (Polepole).
Bila shaka, mabadiliko anayoyafanya Rais Samia — ya kuanzisha INEC — ndio yanayomtatiza Polepole. Anataka wao waingie ili waendeleze wizi wa kura na ubabe uliopitiliza. Hii pia inaimarisha hoja za tetesi kwamba mama (Samia) aliwahi kuwa na msimamo mkali dhidi yao, na hata alijaribu kujitoa kwenye nafasi ya umakamu, lakini alishinikizwa kubaki.
Bila shaka, mama anatubu makosa ya awali kwa kuahidi kupitia ilani ya CCM kuleta Katiba Mpya. Hiyo ndiyo itakuwa toba ya kweli kwa mama na kwa CCM. Hakuna mwingine anayeweza kuleta Katiba Mpya sasa kwa kuwatenga CCM.
Kwa mantiki hiyo, Polepole apuuzwe tu. Ana masilahi binafsi, siyo ya taifa.
Kwanini App ya Bank ina zote nchini ina access ya NIDA?Kwanini App ya CCM Ina access za NIDA? Huu ni ukweli usiopingika.
CCM ni nani na NIDA ni nani?Nani anawajibika kwa mwenzie ingawa sheria haisemi hivyo?Tuliza kipago hicho.Kwanini App ya CCM Ina access za NIDA? Huu ni ukweli usiopingika.
Hapa inabidi ujibu swali la Kwanini wanamfunga Tundu Lissu Jela? Kwanini hawataki kufanya marekebisho ya Katiba kwa kigezo cha Muda?Bila shaka, mabadiliko anayoyafanya Rais Samia — ya kuanzisha INEC — ndio yanayomtatiza Polepole. Anataka wao waingie ili waendeleze wizi wa kura na ubabe uliopitiliza. Hii pia inaimarisha hoja za tetesi kwamba mama (Samia) aliwahi kuwa na msimamo mkali dhidi yao, na hata alijaribu kujitoa kwenye nafasi ya umakamu, lakini alishinikizwa kubaki.
Ukitaka kuja kupotosha ukweli jitahidi kujua ukweli. Unajua ww ni kilaza ila unataka kubishana na ukweli. Ingia kwenye tovuti ya tume ujue lini BVR ilianza.Kwa kumbukumbu zangu, zoezi la kuandikisha NIDA lilianza mwezi Septemba 2015, wakati Rais Jakaya Kikwete anamaliza muda wake na Rais John Magufuli pamoja na Polepole, Kakurwa na wazalendo wengine wakiingia Ikulu. Hata hivyo, matumizi makubwa ya mfumo huu yalianza zaidi katika kipindi cha Magufuli, hasa kwenye uchaguzi wa awamu ya pili mwaka 2020. Kufikia mwaka 2025 bado wananchi wengi hawakuwa wamefikiwa na zoezi hili, kwa kuwa lilikuwa linafanyika kwa awamu za maeneo.
Iwapo madai ya Polepole yana ukweli, basi “wait” ndio wahuni namba moja, siyo “wanamtandao” anaowataja. Wao ndio wa kwanza kutumia vibaya mfumo wa NIDA kupindua matokeo, jambo ambalo ushahidi wake upo wazi. Kumbuka, awamu ya Msoga (Kikwete) ndio awamu pekee ambayo ilishuhudia wapinzani wengi zaidi bungeni na Bunge kuwa moto kuliko kipindi chochote. Lakini awamu ya Magufuli na Polepole ndio iliyowaondoa wabunge wote wa upinzani bungeni, kwa kutumia mfumo waliouasisi wa NIDA + NEC + CCM (Polepole).
Bila shaka, mabadiliko anayoyafanya Rais Samia — ya kuanzisha INEC — ndio yanayomtatiza Polepole. Anataka wao waingie ili waendeleze wizi wa kura na ubabe uliopitiliza. Hii pia inaimarisha hoja za tetesi kwamba mama (Samia) aliwahi kuwa na msimamo mkali dhidi yao, na hata alijaribu kujitoa kwenye nafasi ya umakamu, lakini alishinikizwa kubaki.
Bila shaka, mama anatubu makosa ya awali kwa kuahidi kupitia ilani ya CCM kuleta Katiba Mpya. Hiyo ndiyo itakuwa toba ya kweli kwa mama na kwa CCM. Hakuna mwingine anayeweza kuleta Katiba Mpya sasa kwa kuwatenga CCM.
Kwa mantiki hiyo, Polepole apuuzwe tu. Ana masilahi binafsi, siyo ya taifa.
Ukiambiwa neno WANAMTANDAO unaelewa nini?? AU unadhani kuwa mwanamtandao ni mpaka uwe madarakani? Kumbuka " rimoti siyo TV, lakini unapobonyeza kitufe chochote kwenye rimoti, TV inaitikia..!!Kwa kumbukumbu zangu, zoezi la kuandikisha NIDA lilianza mwezi Septemba 2015, wakati Rais Jakaya Kikwete anamaliza muda wake na Rais John Magufuli pamoja na Polepole, Kakurwa na wazalendo wengine wakiingia Ikulu. Hata hivyo, matumizi makubwa ya mfumo huu yalianza zaidi katika kipindi cha Magufuli, hasa kwenye uchaguzi wa awamu ya pili mwaka 2020. Kufikia mwaka 2025 bado wananchi wengi hawakuwa wamefikiwa na zoezi hili, kwa kuwa lilikuwa linafanyika kwa awamu za maeneo.
Iwapo madai ya Polepole yana ukweli, basi “wait” ndio wahuni namba moja, siyo “wanamtandao” anaowataja. Wao ndio wa kwanza kutumia vibaya mfumo wa NIDA kupindua matokeo, jambo ambalo ushahidi wake upo wazi. Kumbuka, awamu ya Msoga (Kikwete) ndio awamu pekee ambayo ilishuhudia wapinzani wengi zaidi bungeni na Bunge kuwa moto kuliko kipindi chochote. Lakini awamu ya Magufuli na Polepole ndio iliyowaondoa wabunge wote wa upinzani bungeni, kwa kutumia mfumo waliouasisi wa NIDA + NEC + CCM (Polepole).
Bila shaka, mabadiliko anayoyafanya Rais Samia — ya kuanzisha INEC — ndio yanayomtatiza Polepole. Anataka wao waingie ili waendeleze wizi wa kura na ubabe uliopitiliza. Hii pia inaimarisha hoja za tetesi kwamba mama (Samia) aliwahi kuwa na msimamo mkali dhidi yao, na hata alijaribu kujitoa kwenye nafasi ya umakamu, lakini alishinikizwa kubaki.
Bila shaka, mama anatubu makosa ya awali kwa kuahidi kupitia ilani ya CCM kuleta Katiba Mpya. Hiyo ndiyo itakuwa toba ya kweli kwa mama na kwa CCM. Hakuna mwingine anayeweza kuleta Katiba Mpya sasa kwa kuwatenga CCM.
Kwa mantiki hiyo, Polepole apuuzwe tu. Ana masilahi binafsi, siyo ya taifa.
Kwa kumbukumbu zangu, zoezi la kuandikisha NIDA lilianza mwezi Septemba 2015, wakati Rais Jakaya Kikwete anamaliza muda wake na Rais John Magufuli pamoja na Polepole, Kakurwa na wazalendo wengine wakiingia Ikulu. Hata hivyo, matumizi makubwa ya mfumo huu yalianza zaidi katika kipindi cha Magufuli, hasa kwenye uchaguzi wa awamu ya pili mwaka 2020. Kufikia mwaka 2025 bado wananchi wengi hawakuwa wamefikiwa na zoezi hili, kwa kuwa lilikuwa linafanyika kwa awamu za maeneo.
Iwapo madai ya Polepole yana ukweli, basi “wait” ndio wahuni namba moja, siyo “wanamtandao” anaowataja. Wao ndio wa kwanza kutumia vibaya mfumo wa NIDA kupindua matokeo, jambo ambalo ushahidi wake upo wazi. Kumbuka, awamu ya Msoga (Kikwete) ndio awamu pekee ambayo ilishuhudia wapinzani wengi zaidi bungeni na Bunge kuwa moto kuliko kipindi chochote. Lakini awamu ya Magufuli na Polepole ndio iliyowaondoa wabunge wote wa upinzani bungeni, kwa kutumia mfumo waliouasisi wa NIDA + NEC + CCM (Polepole).
Bila shaka, mabadiliko anayoyafanya Rais Samia — ya kuanzisha INEC — ndio yanayomtatiza Polepole. Anataka wao waingie ili waendeleze wizi wa kura na ubabe uliopitiliza. Hii pia inaimarisha hoja za tetesi kwamba mama (Samia) aliwahi kuwa na msimamo mkali dhidi yao, na hata alijaribu kujitoa kwenye nafasi ya umakamu, lakini alishinikizwa kubaki.
Bila shaka, mama anatubu makosa ya awali kwa kuahidi kupitia ilani ya CCM kuleta Katiba Mpya. Hiyo ndiyo itakuwa toba ya kweli kwa mama na kwa CCM. Hakuna mwingine anayeweza kuleta Katiba Mpya sasa kwa kuwatenga CCM.
Kwa mantiki hiyo, Polepole apuuzwe tu. Ana masilahi binafsi, siyo ya taifa.
Kuna watu ni wazito sana.Ccm wanaibaje kura kupitia NIDA? mwenye uelewa atueleweshe