MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,304
Hakina umuhimu wowote na ndo maana Naibu Waziri Mkuu wa mchongo wa mwisho alikuwepo miaka 30 iliyopita na baada ya hapo Hakuna aliyewahi kushika Cheo hicho na Hakuna kilichopungua.Cheo cha Naibu Waziri kuu hakipo kwenye katiba iliyopo lakini Marais waliotangulia waliwahi kumteua hayati Mrema na Salim Ahmed Salim kukitumikia cheo hicho.
Jana Rais Samia kamteua Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu cheo ambacho hakipo kwenye Katiba. Najiuliza kama cheo hiki cha Unaibu Waziri Mkuu kina tija kiutendaji kwanini hakiingizwi kwenye katiba?
Nauliza hivyo kwa sababu hata mafao ya cheo hicho hayajulikani na mwisho wa siku mhusika baada ya kukitumikia cheo hicho anapodai mafao yake huyakosa na huambiwa aonyeshe wapi katiba inayataja. Mfano mzuri ni hayati Augustino Mrema aliyadai bila mafanikio.
Ni matumizi mabaya ya mali za ummaCheo cha Naibu Waziri kuu hakipo kwenye katiba iliyopo lakini Marais waliotangulia waliwahi kumteua hayati Mrema na Salim Ahmed Salim kukitumikia cheo hicho.
Jana Rais Samia kamteua Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu cheo ambacho hakipo kwenye Katiba. Najiuliza kama cheo hiki cha Unaibu Waziri Mkuu kina tija kiutendaji kwanini hakiingizwi kwenye katiba?
Nauliza hivyo kwa sababu hata mafao ya cheo hicho hayajulikani na mwisho wa siku mhusika baada ya kukitumikia cheo hicho anapodai mafao yake huyakosa na huambiwa aonyeshe wapi katiba inayataja. Mfano mzuri ni hayati Augustino Mrema aliyadai bila mafanikio.
Wanatuongezea mzigo walipa kodi bila sababu za msingiProbably naibu atakua anakula mtonyo na posho kama senior wake kwasababu wote ni wateule na tofauti yao ni junior ndie mteule wa mama na senior alikua mteule wa mrangulizi wa mama.
Na tambua kwamba hadi sasa wote wana report kwa mama, pia majukumu yao wanapangiwa na mama.
Kimtazamo, senior anatakiwa ajiuzulu ama akanyage ardhi kwa adabu sana.
Anaogopa kuvimbishwa tumbo ππSijamsikia popote Makamu Mwenyekiti wa Chadema Wakili msomi mh Tundu Lisu akihoji Uteuzi wa Naibu Waziri mkuu
Kwa maana hiyo hakuna kipengere chochote cha Katiba kilichokiukwa
Mlale unono ππ
Mfalme hateuliwi BwasheeNaomba amteua mumewe kuwa Mfalme.
Hata Urais akiamua anaweza kumuachia Makamu wake kwa mujibu wa Katiba!Yes
Katiba haijavunjwa.
Rais ana authority ya kuanzisha cheo chochote au kumpa mtu nafasi yoyote isipokuwa Urais tu
Lissu keshakwambia tatizo hapa ni Katiba inayompa Rais Umungu mtu!!! Kwanini hutumii akili lakini?Sijamsikia popote Makamu Mwenyekiti wa Chadema Wakili msomi mh Tundu Lisu akihoji Uteuzi wa Naibu Waziri mkuu
Kwa maana hiyo hakuna kipengere chochote cha Katiba kilichokiukwa
Mlale unono ππ
Naunga mkono hoja, japo huko alipo najua kuna watu wanamlazimisha aseme chochote cha kupinga hata kama atachopinga kitakuwa hakina ushahidi.Sijamsikia popote Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Wakili msomi Tundu Lissu akihoji Uteuzi wa Naibu Waziri Mkuu.
Kwa maana hiyo hakuna kipengere chochote cha Katiba kilichokiukwa
Mlale unono ππ
Lissu sio lopolopo kama wewe Jo.. Mambo ya ccm kupeana vyeo sio kipaumbele chake wala cha CHADEMASijamsikia popote Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Wakili msomi Tundu Lissu akihoji Uteuzi wa Naibu Waziri Mkuu.
Kwa maana hiyo hakuna kipengere chochote cha Katiba kilichokiukwa
Mlale unono [emoji3][emoji3]
Bila shaka aliwahi kukufuma kwenye hayo mataputapu π π π π πMwabukusi anajiona ana akili sana kumbe ni mlevi wa mataputapu tuππ€£
Ufipa wanakufundisha matusi tu. Upuuzi mtupu.Bila shaka aliwahi kukufuma kwenye hayo mataputapu π π π π π
Unamkosea ,amefafanua vizuri Sana na hata lisu atasema tu ,sikilakitu aseme hapohapo ukijua wazi oparesheni inaendeleaMwabukusi anajiona ana akili sana kumbe ni mlevi wa mataputapu tu[emoji23][emoji1787]
Haya sawa.Unamkosea ,amefafanua vizuri Sana na hata lisu atasema tu ,sikilakitu aseme hapohapo ukijua wazi oparesheni inaendelea