Kama ni mwenyeji wa Bukoba naomba upite hapa

WAR

Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
49
Reaction score
36
Nmepata milioni tano nataka nifanye biashara Bukoba na ndiyo mara yangu ya kwanza kwenda tafadhari kama unafahamu fursa na changamoto zilizopo nisaidie
 
Nmepata milioni tano nataka nifanye biashara Bukoba na ndiyo mara yangu ya kwanza kwenda tafadhari kama unafahamu fursa na changamoto zilizopo nisaidie
Duka la vifaa vya ujenzi maana kuna ujenzi mkubwa unafanyika mjini bukoba hasa baada ya tetemeko,pia biachara ya samaki, simu,na vifaa vya umeme, na pia nguo maana ni karibu mtukula na Kampala. Na vingine vingi
 
Biashara ya vipodozi na simu na nguo,viatu na sabuni ni nzuri maana bidhaa zip karibu yaan Kampala jinja masaka na mtukula ni karibu.
 
Kama we ni mwanaume na unaweza kusafiri, Fanya bihashara ya Dagaaa. Bukoba to Congo, within a year, mtaji waweza fika 50 m
 
Reactions: WAR
Mnisamehe bure tuu, out of topic nilivosoma tuu wenyeji wa bukoba akili ikaniambia ingia hapo utapata katerero new version.....

Ndo natoa macho hapa.....

Usiku mwema.
 
Mnisamehe bure tuu, out of topic nilivosoma tuu wenyeji wa bukoba akili ikaniambia ingia hapo utapata katerero new version.....

Ndo natoa macho hapa.....

Usiku mwema.
Aisee we mwanan
 
Mnisamehe bure tuu, out of topic nilivosoma tuu wenyeji wa bukoba akili ikaniambia ingia hapo utapata katerero new version.....

Ndo natoa macho hapa.....

Usiku mwema.
Aisee we mwanamke ulaaniwe tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mnisamehe bure tuu, out of topic nilivosoma tuu wenyeji wa bukoba akili ikaniambia ingia hapo utapata katerero new version.....

Ndo natoa macho hapa.....

Usiku mwema.
/
r u horny? Ingia chemba nikupe contact
 
Aisee we mwanamke ulaaniwe tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahhaa na laana yako iwe baraka saba mara sabini looh

Mie akili yangu ndo imewaza hivyo na nimekuwa mkweli na muwazi kusema. Hehehehee mnisamehe bure tuu katerero ndo yenyewe, utasikia.... mama Kokuu kula matoke ya kutosha na samaki wa kuchemsha ntarudi saa mbili usiku. Basi ujue shughuli siku hiyo ni kateee tuu hahahahhahaaa.
 
Peleka mkorogo pale ututusua kinoma, wahaya wanawake wanapenda sana kujichubua!
 
Hhahahha ningekupa msaada tatizo upo mbali [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…