Kama ni uvamizi wa nchi nyingine, Urusi siyo wa kwanza

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
10,892
Reaction score
7,780
Kama ni uvamizi wa nchi zingine nchi za kibeberu za Ulaya zinaongoza na Urusi sio ya kwanza.

Ukianzia na kuzivamia nchi mbalimbali ikiwemo Afrika kuziweka kwenye ukoloni kuanzia karne ya 18 nchi za kibepari za Ulaya na Marekani ndio zinaongoza dunia kwa uvamizi wa nchi zingine..

Kuna Japan kuivamia China 1930. Kuna Ujerumani kuvamia nchi kibao za uoropa kabla ya kuivamia Urusi katika vita vya pili vya dunia.

Ukija miaka ya hii kwenye karne ya 20 Marekani ndio inaongoza kuzivamia kijeshi nchi zingine. Walivamia Afghanistan, wakavamia Iraq mara mbili, mara ya pili wakaiteka nchi na kumnyonga kwa kamba rais wake. Wakavamia Serbia, pia wako huko Syria kivamizi.

Na kila mahali Marekani wamevamia miaka ya karibuni wamepata uungwaji mkono na ushirika wa Uingereza. Ukimuona ambari na zindunya yuko.
Pia wamarekani na wafaransa miaka michache iliyopita wamevamia lybya na kumuua kiongozi wake mwanamapinduzi muammar gadhafi.

Urusi ina machungu ya kuvamiwa na ujerumani wakati wa vita vya pili. Wakati wajerumani wakiivamia urusi vita baridi kati ya ubepari na ukomunisti ilikwisha anza kwa hivyo nchi za kibepari walitazama kwa furaha wakifikiri Ujerumani ingewashinda warusi kabla ya wao kuipiga kwa pamoja ujerumani na kuitia adabu.

Kitu hicho hakikutokea badala yake urusi ndio waliwaangamiza jeshi la hitler na kukomboa maeneo yao yaliyotekwa yote na kulivurumisha jeshi la Hitler kwa kulipiga hadi berlin mji wao mkuu ambapo walisalimu amri.

Watu Wengi watashindwa kuelewa kwa nini Urusi haitaki Ukraine kujiunga na NATO.

NATO kwa uhakika ni jeshi la pamoja la nchi za kibepari kujihakikishia ulinzi dhidi ya Urusi ya kikomonisi.

Licha ya hali kubadilika nchi za kibepari bado lengo lao ni kuidhoofisha Urusi na pengine kuitawala kiuchumi. Kwa hivyo nato inabakia kitu hatari kwa warusi.
 
Kwa maisha ya leo ni ujinga kuipa
Kama ni uvamizi wa nchi zingine nchi za kibeberu za Ulaya zinaongoza na Urusi sio ya kwanza.

Ukianzia na kuzivamia nchi mbalimbali ikiwemo Afrika kuziweka kwenye ukoloni kuanzia karne ya 18 nchi za kibepari za Ulaya na Marekani ndio zinaongoza dunia kwa uvamizi wa nchi zingine..

Kuna Japan kuivamia China 1930. Kuna Ujerumani kuvamia nchi kibao za uoropa kabla ya kuivamia Urusi katika vita vya pili vya dunia.

Ukija miaka ya hii kwenye karne ya 20 Marekani ndio inaongoza kuzivamia kijeshi nchi zingine. Walivamia Afghanistan, wakavamia Iraq, wakavamia Serbia, pia wako huko Syria kivamizi.

Na kila mahali Marekani wamevamia miaka ya karibuni wamepata uungwaji mkono na ushirika wa Uingereza.

Urusi ina machungu ya kuvamiwa na ujerumani wakati wa vita vya pili. Wakati wajerumani wakiivamia urusi vita baridi kati ya ubepari na ukomunisti ilikwisha anza kwa hivyo nchi za kibepari walitazama kwa furaha wakifikiri Ujerumani ingewashinda warusi kabla ya wao kuipiga kwa pamoja ujerumani na kuitia adabu.

Kitu hicho hakikutokea badala yake urusi ndio waliwaangamiza jeshi la hitler na kukomboa maeneo yao yaliyotekwa yote na kulivurumisha jeshi la Hitler kwa kulipiga hadi berlin mji wako mkuu ambapo walisalimu amri.

Watu Wengi watashindwa kuelewa kwa nini Urusi haitaki Ukraine kujiunga na NATO.

NATO kwa uhakika ni jeshi la pamoja la nchi za kibepari kujihakikishia ulinzi dhidi ya Urusi ya kikomonisi.

Licha ya hali kubadilika nchi za kibepari bado lengo lao ni kuidhoofisha Urusi na pengine kuitawala kiuchumi. Kwa hivyo nato inabakia kitu hatari kwa warusi.
Ngia nchi nyingine ishirikiane na nani ikiwa tayari iko huru
 
Back
Top Bottom