Maumivu nlopata siku twaenda fungwa na Lesotho kule bondeni hata wangemueka dem gani mkali(mzuri) kupita hao wakina wema bado singekuwa na morali wowote kushangilia.
Kwanza kufuzu kwenyewe eti tuwaombee Lesotho wafungwe au watoe dro sa hu si ndo us*ng* jamani. Muda wote tulikuwa wapi twaja shtukia mwishoni ,tunaleta ufala wa kupita kwa kuombea fulani afungwe?
Naona makonda kawajua wa tz kuwa "mpe chai tu anasahau yote" kaamua toa ahadi ya vinywaji nusu bei kusahau ufala wa mechi zilizopita.
ILA MIMI NABAKI NA MSIMAMO WANGU NA SIJASAHAU YALE MAUMIVU KAMWE
N.B nawaombea sana mana simo