Kama ni wewe ungefanyaje?

bizzle for shizzle

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2014
Posts
1,012
Reaction score
741
Du.......! Yani ulikuwa ukituma pesa kijijini ili ujengewe nyumba na umekuwa ukituma pesa kwa miaka kumi mfululizo na ukipiga simu unaambiwa sahizi mafundi wana paua siku unaamua kwenda kuangalia mjengo wako unakutana na hali hiii..... Hivi kama ni wewe ungefanya nini? [emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
 
Ujinga ni pale hata unapojengewa nyumba yako ukiwa mbali, bila hata kuomba utumiwe picha ya nyumba yako uone maendeleo yake!
 
Ujinga ni pale hata unapojengewa nyumba yako ukiwa mbali, bila hata kuomba utumiwe picha ya nyumba yako uone maendeleo yake!
Mkuu picha wanaweza zitengeneza tu
 
Hahaha kuna ndugu yangu alituma hela wamnunulie mbuzi, wakawa wanamwambia mbuzi yupo na keshashika mimba... Alipokuja kwenda hahaha wanamwambia hali ilikuwa mbaya tuliitumia ile hela na hatukununua mbuzi yoyote hahahah
 
Mambo mengine sio ya kutumiza tu sisi wa Tanzania tumelewa na kutimiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…