Mudugu
Senior Member
- Mar 17, 2018
- 141
- 135
Upo umetulia zako sehemu
Mara kwenye simu ukasikia ujumbe ume ingia
Una angalia unakuta ujumbe unasema imethibitishwa umepokea kiasi cha Tsh 307,000 namba iliyo kutumia ni ngeni huku mfukoni mwako huna kitu ukaamua ukaitoe hiyo hela naukaifanyia matumizi ikaisha kwakuamini mtu kajichanganya akakosea kutuma
Kesho yake ukapigiwa simu na jamaa au ndugu yako akakuambia uliiona hiyo 307,000 niliyokutumia?
Yani nilipo tuma hiyo hela nikataka nikujulishe kuwa ni mimi nimekutumia
Mtandao ukagoma simu ikawa inakata ndo imekubali leo
Kwahiyo hiyo hela kaitoe uwapelekee nyumani kuna mgonjwa
Na mimi nakuja baada wiki mija
Hebu niambie hapo kitacho fuatia ni nini