Kama ni wewe utafanya je?

Mudugu

Senior Member
Joined
Mar 17, 2018
Posts
141
Reaction score
135
Upo umetulia zako sehemu
Mara kwenye simu ukasikia ujumbe ume ingia
Una angalia unakuta ujumbe unasema imethibitishwa umepokea kiasi cha Tsh 307,000 namba iliyo kutumia ni ngeni huku mfukoni mwako huna kitu ukaamua ukaitoe hiyo hela naukaifanyia matumizi ikaisha kwakuamini mtu kajichanganya akakosea kutuma

Kesho yake ukapigiwa simu na jamaa au ndugu yako akakuambia uliiona hiyo 307,000 niliyokutumia?
Yani nilipo tuma hiyo hela nikataka nikujulishe kuwa ni mimi nimekutumia
Mtandao ukagoma simu ikawa inakata ndo imekubali leo
Kwahiyo hiyo hela kaitoe uwapelekee nyumani kuna mgonjwa
Na mimi nakuja baada wiki mija
Hebu niambie hapo kitacho fuatia ni nini
 
Ukiona ivo Hayo majanga ndo yamekupata,usiwe mtu wa maamuzi kabla ya kufikir ndo athari zake izo,hakuna solution Hapo zaidi ya kulipa hela hiyo!!!
 
Hata kama huna hela ya kitosha mfukoni, usikurupuke kukimbilia kutoa hela iliyoingia kwenye simu yako, iwe m pesa, tigo pesa au mtandao wowote, bila ya kufahamu ni nani aliekutumia.
 
Ukiona ivo Hayo majanga ndo yamekupata,usiwe mtu wa maamuzi kabla ya kufikir ndo athari zake izo,hakuna solution Hapo zaidi ya kulipa hela hiyo!!!
Kweli kabisa mkuu
 
Kweli kabisa wengi wanakimbilia kutoa hela wakujua kuna mtu kajichanganya kumbe yeye ndo anajichanganya
Hata kama huna hela ya kitosha mfukoni, usikurupuke kukimbilia kutoa hela iliyoingia kwenye simu yako, iwe m pesa, tigo pesa au mtandao wowote, bila ya kufahamu ni nani aliekutumia.
 
Kinachofuata hela sijaiyona si mtandao ulikuwa unagoma jana jaribu kutama tenaa
 
Jana nilikuwa naongea na mfanyakazi mwenzangu ujaniuliza ukitumiwa hela na namba ngeni utafanyaje, akanijibu anatoa hela halafu kama hela ni kubwa anavunja laini ila sio uungwana hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…