Kama ni zawadi watumishi mlioleneshwa kazini mlipazwa mmununulie Kanzu mh.Waziri Mkuchika kwa sababu 3..

Kama ni zawadi watumishi mlioleneshwa kazini mlipazwa mmununulie Kanzu mh.Waziri Mkuchika kwa sababu 3..

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Hapendi rushwa,kwahiyo kwakuwa hajawahi vaa Vazi hill tukufu na kibagalashia angefurahi sana

Mwisho mliorudishwa hamjawahi kushukuru popote kwanini kama mlivyokuwa mnadai kabla au waandishi wamekuwa wazsmbe kwenda na matukio muhimu kama hayo

Instagram:kaukwaju
 
naona umetumwa kutuharibia jukwaa,unakera sana.
Sasa umeandika nini?
 
Usiwe kama Mhogo Mchungu, hebu elezea fresh tukuelewe..
 
HUYU JAMAA KWA SASA NI KERO KWA KWELI. SIJUI MODS WAKO WAPI KUACHIA POST KM HIZI KUWEPO HUMU JUKWAANI.
 
Back
Top Bottom