Kama nilikukosea mwaka 2024 acha ujinga 2025 ili nisiendelee kukupiga spana 2025!

Kama nilikukosea mwaka 2024 acha ujinga 2025 ili nisiendelee kukupiga spana 2025!

Wakuu,

Kama ulikula spana 2024 jirekebishe, acha uchawa, ukupe na umaandazi :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:

Ukibisha utakula spana tu😹😹.

Happy New Year watu wazuri wa JF, wengine tushamaliza 25 tunaenda 26😎.
Naomba nikusaidie wa kupigaspan 2025,Tlatlaah,Choice,Luca,Magonjwa ,Mtambuka na rafiki zao
 
Sawa brother Jef acha kujiita cute wife
 
Iwe kheri na kwako pia, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...


Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom