Kama nilikukosea mwaka 2024 acha ujinga 2025 ili nisiendelee kukupiga spana 2025!

Wakuu,

Kama ulikula spana 2024 jirekebishe, acha uchawa, ukupe na umaandazi

Ukibisha utakula spana tu😹😹.

Happy New Year watu wazuri wa JF, wengine tushamaliza 25 tunaenda 26😎.
Naomba nikusaidie wa kupigaspan 2025,Tlatlaah,Choice,Luca,Magonjwa ,Mtambuka na rafiki zao
 
Sawa brother Jef acha kujiita cute wife
 
Iwe kheri na kwako pia, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...


Cc: Mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…