Unajua watu hawaelewi magari, watu wana magari hapa mjini amvayo wanaendesha na wanatengeneza lakini watu wanapeana maelezo ya kijinga kwamba toyota ndo gari kwa vile unaweza kupata tyre rod end kwa 15,000 Tsh. Upuuzi mtupu, halafu baada ya miezi miwili unaweka nyingine.
Wakati mimi nikifunga tyre rod end kwenye nissan nasahau kabisaaa!!
Nikiweka stabilizer link kwenye rover ndo kabisaaaa labda baada ya 2 years!!
Mi nimenunua magari Japan, na nimepigwa vile vile, issue ni kujua unataka gari gani na make sure umei-research na umeikagua.