Kama ningekuwa kwenye benchi la ufundi la klabu ya Simba SC ningependekeza kikosi hiki

Skythelimit

Member
Joined
Jul 19, 2023
Posts
61
Reaction score
133
Simba SC ni timu ambayo imeshajijengea jina kubwa barani Afrika hivyo ukubwa huo unatakiwa kuonekana kwenye kila mashindano inayoshiriki.

Kuna wachezaji ambao hawasitahili kuanza kwenye first eleven ya mwalimu, baadhi ya wanyezaji hao ni;
Balua,
Shomari Kapombe: ( amekuwa uchochoro wa adui kupita),
Ahoua: ( huyu mvp wa Ivory coast nahisi tulipigwa ni mvivu halafu ubunifu ni mdogo sana)
Mutale: ( huyo ni Saidoo aliyechangamka, papara nyingi halafu zero output).

Kwa kuwa matokeo ya uwanja wa mkapa marudiano ni kufa na kupona: kivyovyote vile simba itatakiwa ifunge magoli ili kusonga mbele hivyo nitashauri kuanza na double strikers (10. Ateba, 9. Mukwala)

Ateba atacheza kama 10 ili kuongeza nguvu ya viungo wengi katika mechi hiyo huku nyuma yake watakuwepo viungo wawili (6. Yusuphu Kagoma, 8. Deborah Fernandez)

Screenshot_20240917-163849~2.png

Formation ya 4:4:1:1
Hapo mwarabu anapigiwa mchaka mchaka mwanzo wa mchezo hadi mwisho wa mchezo.
 
Kikosi kizuri mkuu.ila kibu naona kama hayuko sawa upande wake muweke chasambi
Sahihi kabisa, kosi liko vizuri hilo.

Kijili kuna wakati naona kama ana mapepe fulani, inabidi aongeze utulivu. Kibu naye makali yake yamepungua sana msimu huu, sijui shida nini.

Ila Simba kweli imebadilika. Mechi muhimu kama hii, wanaoanza wa msimu uliopita hawazidi wanne.
 
Ila kocha nimeanza kua na shaka nae.
 
Unadhani mpira ni kama draft unajichezea tu unavyotaka? hicho kikosi hakina namba 10 wa kudetect temple ya mchezo,ku control temple ya mchezo na kuamua temple ya mchezo so hakutakuwa na ubunifu wowote eneo la kati pili valentino nouma ukimchezesha kama winga unampiga pini zimbwe so hatakuwa na madhara yoyote na pia timu itakuwa nzito coz nouma ana waza sana kukaba kuliko kushambulia tatu ni lini nouma amewahi kutrain na kucheza kama winga?
 
Amini usiamini we jamaa shomari kapombe ni mzuri sana na ana madhara sana kwenye mechi kama hizi ambapo timu inahitaji kushambulia kuliko hata kijiri so kijiri mtoe hapo pili nouma mtoe muweke balua unajua kwanini? Kwenye mechi kama hizi usijaribu kitu kipya ambacho hujawahi kufanya hapo kabla utafungwa mapema mno. Ahua kuanza ni lazima sio option anayetakiwa kuanzia benchi ni mutale then mbavu moja ale mukwala. Niulize swali kama unalo.
 
Valentino ni nzuri zaidi ya Zimbwe katika kushambulia. Nadhani amemuweka ili wasaidiane katika majukumu ya kukaba huku Valentino akiwa free kwenye ushambuliaji.

Mechi ya kwanza Zimbwe hakuwa anapanda na nategemea atapewa maelekezo hayo hayo mechi ya pili kwa hiyo sioni Zimbwe anapigwaje pini hapo.
 
Ukocha siyo kupanga majina. Ukocha ni kusoma Maturity, Behavior, Experience na Strategy and Tactics unazotumia kulingana na match.
 
ZIMBWE ANAPIGWAJE PINI? V.NOUMA NI MZURI KATIKA KUSHAMBULIA KULIKO ZIMBWE? SIDHANI KAMA UNAANGALIA MPIRA WEWE UTAKUWA UNASIMULIWA TU, IKO HIVI NOUMA ANAZIDIWA VITU VIWILI VIKUU NA ZIMBWE NDIO MAANA ANAKAA BENCHI MOSI AKIPANDA ANACHELEWA KURUDI PILI HANA END PRODUCT NZURI KAMA ZIMBWE. ZIMBWE ATAPIGWA PINI COZ NOUMA HAJAWAHI KUTRAIN NA KUCHEZA KAMA WINGA SO UKIMCHEZESHA KAMA WINGA ATAKUWA ANARUDI CHINI SANA NA ATAKUWA SEHEMU MOJA NA ZIMBWE BADALA YA KUVUNJIKIA NDANI SO ZIMBWE ANAPITAJE? KAANGALIE MECHI YA TAIFA STARS VS ETHIOPIA KIBABAGE ALIVYOMPIGA PINI ZIMBWE NA TIMU IKAWA NZITO.
 
Siridhishwi na ukabaji wa Kapombe, lakini Kijiri ni mwanariadha zaidi kuliko mchezaji, anachojua ni kukimbiza mpira kisha anapiga cross yake kuelekea mbinguni
 
Amini usiamini we jamaa shomari kapombe ni mzuri sana na ana madhara sana kwenye mechi kama hizi ambapo timu inahitaji kushambulia kuliko hata kijiri so kijiri mtoe hapo pili nouma mtoe muweke balua unajua kwanini? Kwenye mechi kama hizi usijaribu kitu kipya ambacho hujawahi kufanya hapo kabla utafungwa mapema mno. Ahua kuanza ni lazima sio option anayetakiwa kuanzia benchi ni mutale then mbavu moja ale mukwala. Niulize swali kama unalo.
Kwa shomari kapombe huo ni uongo!!
 
Simba SC ni timu ambayo imeshajijengea jina kubwa barani Afrika hivyo ukubwa huo unatakiwa kuonekana kwenye kila mashindano inayoshiriki.

Kuna wachezaji ambao hawasitahili kuanza kwenye first eleven ya mwalimu, baadhi ya wanyezaji hao ni;
Balua,
Shomari Kapombe: ( amekuwa uchochoro wa adui kupita),
Ahoua: ( huyu mvp wa Ivory coast nahisi tulipigwa ni mvivu halafu ubunifu ni mdogo sana)
Mutale: ( huyo ni Saidoo aliyechangamka, papara nyingi halafu zero output).

Kwa kuwa matokeo ya uwanja wa mkapa marudiano ni kufa na kupona: kivyovyote vile simba itatakiwa ifunge magoli ili kusonga mbele hivyo nitashauri kuanza na double strikers (10. Ateba, 9. Mukwala)

Ateba atacheza kama 10 ili kuongeza nguvu ya viungo wengi katika mechi hiyo huku nyuma yake watakuwepo viungo wawili (6. Yusuphu Kagoma, 8. Deborah Fernandez)

Formation ya 4:4:1:1
Hapo mwarabu anapigiwa mchaka mchaka mwanzo wa mchezo hadi mwisho wa mchezo.
Nini maoni yako baada ya ushindi?
 
Back
Top Bottom