Wakuu,kesho ni Sikukuu ya
Wafanyakazi,bad enough walimu wa Sumbawanga Manispaa hawajapata
Mshahara.Hii halmashauri cjui ina nini?Sijui kwa sababu iko mbali na
Dar?Walimu huku wanalazimishwa kufungua akaunti za NMB,vingnevyo haupati
mshahara!Hivi kuna mwalim huwa anafurahia kuwa Professional yake?Kulia
kulia kulia mpaka Yesu arudi.NAIC NILIKOSEA NJIA KUWA MWALIMU