DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
If I could be a president.
Ninge-ruhusu wagombea binafsi .
Hapa Tanzania kuna watu wengi wenye akili Sana hawataki kujiingiza katika siasa kwakuwa siasa zetu zimejaa uongo mwingi na fitina majungu na michezo michafu.
Kutokuwepo kwa wagombea binafsi ni hasara kwa Taifa .
Tunaishia kupata Machawa bungeni na serikalini.
Kwani mamlaka ya kuruhusu au kutoruhusu mgombea urais binafsi yapo kwa rais? Huu nao ni uchawa. Asante mama kwa mgombea urais binafsi 😂If I could be a president.
Ninge-ruhusu wagombea binafsi .
Ndiyo...Hivi hili la mgombea binafsi si lilikuwepo kwenye katiba mpya ya Warioba?
Leo umekuwa rafiki yangu! Hiki ndicho kilio chetu wasio egemea upande wowoteIf I could be a president.