MPAMBANAJI.COM
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 712
- 332
Naamini kazi yangu kubwa ingelikua ni kuangalia mapato na matumizi ya Serikali yangu pendwa ya Tanzania.'
Wakati wa bajeti ningehakikisha yakua ninafufua vyanzo vingi vya kimapato kwa kuangalia rasilimali mfano, Viwabda,Madini,barabara na kilimo.
Ningehakikisha Viwanda vyote vinafufuliwa, mashamba makibwa ya kilimo yafunguliwa, wigo wa masoko unapanuliwa ndani na nje, nahakikisha kodi inakuwa avearage na napungiuza mzunguko wa fedha ili wau wafanye kazi kwa bidii zaidi.
Pia nahakikisha ya kuwa naongeza fatifi mbalimbali za kimaendeloe. nINGEISHAURI SERIKALI KUPUNGUIZA WAFANYAKAZI MFAN kwenye Posta, RELI, Usafiri wa ndege, naaishauri serikali kuondoa nafasi za wakuu wa wilaya na mikoa.Naacha wakurugenzi na naishauri serikali kuanzisha cheo kipya cha Regional executive Office. Pia magari yote yakifahari ya serikali yaondoshwa na magari toyota hilux ndio yanatumika katika utendaji.
Hyo ni machache tuu... na lazima ningehakikisha yakua wafanya biashara wotw wanalipa kodi na mianya yote ya misamaha ya kodi na ukwepaji wa kodi inazibwa.
Haki ya Mama wangenikoma kulikoni hata hayati Moringe sokoine. Wangejua mie ni mtendaji halkisi toka ukoo wa Mani.
Haki ya Mungu hii bajeti inanitia kichefuchefu-Bia, sigara, mishahara tuuu....Recurent expenditure in this budget provides no acurate road for economic stimulation and the one digit dream on inflation in unatteinable.