Kama ningerudi ku "date" tena ...24year old boy and nothing else

Hapa ndipo mnabugi big time! Yaani mambo mengine yote kwenye maisha: kukaa, kutambaa, kusimama, kutembea, kula, kunywa, kusoma, kuandika, fani zote...ufundishwe na waliokuzidi umri. Ila ikifika kwenye jambo muhimu kabisa tamu la kiasili, mnaanza drama eti date wa umri wako! Nyie vipi?!😳😳😳
Ndiyo maana ndoa hazidumu,
Hamjajifunza tu?!
 
Kwa African life, Tanzania in particular...mfumo wa maisha na hali ya kiuchumi haitakupa hiyo Pleasure unayoisema ya kuenjoy na young boy wa 24 yrs...kwasababu kwa maisha ya Bongo huyo wa 24 bado hana maisha kabisa amejaa stress zake za kukosa pesa au ajira
Halafu huyo wa 40 ndio utakuta ana maisha sasa🤣
 
Exactly, naona yeye ameassume maisha ya Bongo ni kama ya New Jersey, London au Frankfurt ambapo mtoto anazaliwa na kukuta kila kitu...akiwa around 14 tayari ana Billions kadhaa kwenye account yake...
Then anaishi maisha yake, hakuna utamaduni wa kupangiwa lifestyle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…