Kama niwewe jitambulishe

antistress

New Member
Joined
Dec 1, 2015
Posts
3
Reaction score
0
Namtafuta clasment wangu anaitwa Wilyalfa Wilyfest. Tumemaliza wote stnd 7 pale mwereni primary. Pia hata wengine tuliokuwa pamoja mnakaribishwa. Bila kuwasahau Robati kamili, kinanasi mdevi, chilee, pamfily, samweli aka kimbuzii leons nawengineo karibuni tutiririke
 
Sasa wewe mbona hujataja jina lako halisi ili tukukumbuke?

Umemaliza std 7 mwaka gani?

Baada ya hapo uliendelea na masomo gani?

Sasa hivi unajishughulisha na nini?
 
Kamilisha maelezo yako ili uweze kupewa taarifa unazohitaji.
 
...wewe tu ndo ulotoboa!.... "clasment" wenzio ht JF hawaijui!
 
Sasa wewe mbona hujataja jina lako halisi ili tukukumbuke?

Umemaliza std 7 mwaka gani?

Baada ya hapo uliendelea na masomo gani?

Sasa hivi unajishughulisha na nini?

Anatania tu
 

Taja shule
 
Duh hayo majina ni ya watanzania kweli? Mbona kama vile ni Jamaica?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…