Kama niwewe ungefanyaje?

Anthony peter

Member
Joined
Feb 16, 2011
Posts
18
Reaction score
0
Kuna mwanamke mke wa mtu hupenda sana kuja dukani kununua nguo kila hakija humpenda sana kunionyesha mapozi kichokozi nakuna cku alikuja akaingia sehemu ya kujaribia nguo akavua nguo then akanita niende nikamfungiye zip ya sketi akiwa nusu uchi. Km niwewe utafanyaje?
 
namfungua zipu namsubiri avae,kama nguo imemkaa vizuri namwambia anunue,kama siyo namchagulia nyingine,then ananunua tunaagana,namkaribisha tena dukani....zaidi namsisitiza msalimu sana mumeo na familia......ningefanya hivyo tu!!!:wink2:
 
umefeli kazi ambayo mama alikuwa anaitaka lkn umefaulu kazi yako
 
ndio challenges zenyewe hizo za kazi,..sa' wewe unataka ufanyeje mwenzetu?:A S 13:
 
Wewe una mpango gani??? Inaonekana kuna unamtamani....uwezo uko mkononi mwako..waweza kuishinda hiyo tamaa ukiamua....ukichekelea unanaswa!!
 
na mimi ningefungua zip ya kwangu hapo inakuwa ngoma droo
 
Du mm naifunga km anavyotaka nakm halipi ataivua tu nipo kazini bwana
 
ningesoma kwanza hii thread kisha naenda kumfungiya (kumfungia) hiyo zip (zipu)
:majani7: ndio mpango mzima:car:
 
Ningefunga mlango, halafu nafungua zipu na mimi na mwisho nambanjua na kumpatia nguo bureeeee!!
 
Wewe si kuna thread umesema unataka mchuchu, ndio huyo sasa okota nenda naye!!
 
Mi nisingefanya kitu. Ningebaki natetemeka huku nimekodoa macho kama mjusi.
 
ningekua ni mimi nampanda 2 coz cndo anachokitaka toka kwangu.
 
kwani we unamtaka? kama ndivyo badala ya kufunga zipu we shusha sketi yake, kama sivyo funga halafu sepa!
 
namfungua zipu namsubiri avae,kama nguo imemkaa vizuri namwambia anunue,kama siyo namchagulia nyingine,then ananunua tunaagana,namkaribisha tena dukani....zaidi namsisitiza msalimu sana mumeo na familia......ningefanya hivyo tu!!!:wink2:

Michelle
Wewe umeshakutana na mwanamme mwenye damu nyekundu inayochemka??? Na kwambia hawezi kuangalia kiungo cha mwanamke hasa sehemu za ndani kwenye.............akabaki salama. Lazima yule jamaa atasisimka na kitakachofuatia hapo unakijua. Michelle

Bila shaka umenipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…