Kama niwewe ungefanyaje?

Anthony peter

Member
Joined
Feb 16, 2011
Posts
18
Reaction score
0
Kuna mwanamke mke wa mtu hupenda sana kuja dukani kununua nguo kila hakija humpenda sana kunionyesha mapozi kichokozi nakuna cku alikuja akaingia sehemu ya kujaribia nguo akavua nguo then akanita niende nikamfungiye zip ya sketi akiwa nusu uchi. Km niwewe utafanyaje?
 
Wewe una mpango gani??? Inaonekana kuna unamtamani....uwezo uko mkononi mwako..waweza kuishinda hiyo tamaa ukiamua....ukichekelea unanaswa!!
 
Mkuu isije ikawa tayari uliishamaliza kila kitu halafu ndio unatuleta scenario
 

Hapo penye nyekundu pana jibu la swali lako...
Kwani wewe ulataka nifanyeje?
 
Si kuna thread umeanzisha kuwa unahitaji "mchuchu", ndio mchuchu mwenyewe huyo beba!
 

Jinsi 'nguvu' zinavyonisumbua, lazima mlango ungefungwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…