NdasheneMbandu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 940
- 308
Wandugu,
Ukisikiliza mahubiri ya ustaadhi ilunga unaweza kubaini namna waislam wanavyomchukia Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere kama ndiye kiongozi aliyewanyima fursa ya maendeleo ya kielimu.
Lakini nimepata taarifa kuwa Baba wa Taifa alivunja uhusiano na Israel kwa sababu tu ya mahusiano mabaya na wapalestina.
Kama Baba wa Taifa alikuwa anawachukia waislam kiasi hicho kwa nini alichukua hatua hiyo nzito na hasa ukizingatia kuwa Israel ilikuwa tayari imejikita nchini kwa shughuli mbalimbali za kiuchumi?