Kama oden mbaga atabaki kuwa mwamuzi wa simba;yanga tarajieni vituko uwanjan

Kama oden mbaga atabaki kuwa mwamuzi wa simba;yanga tarajieni vituko uwanjan

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Pengine naweza kuwa sheikh ya hya kwa mechii hii ya jumamosi pale taifa
sipendi kusema mengi ila nasema na ntarudia kama oden atabaki kuwa mwamuzi
wa simba na yanga ;wachezaji na mashabiki tarajieni vituko uwanjani...na mpunguze munkari
namjua n ndigu yangu kaka yangu na rafiki yangu mzuri tu...ila swala la simba na yanga
yeye anajua yuko upande gani......
Nawatakia mechi njema
 
Kamillsha utabiri mkuu, yeye ni wa upande upi, na tutarajie nini?
 
Back
Top Bottom