Pengine naweza kuwa sheikh ya hya kwa mechii hii ya jumamosi pale taifa
sipendi kusema mengi ila nasema na ntarudia kama oden atabaki kuwa mwamuzi
wa simba na yanga ;wachezaji na mashabiki tarajieni vituko uwanjani...na mpunguze munkari
namjua n ndigu yangu kaka yangu na rafiki yangu mzuri tu...ila swala la simba na yanga
yeye anajua yuko upande gani......
Nawatakia mechi njema