Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,649
- 6,680
Shangaa na weweMkuu, yaani kwa maisha ya kibongo hizo ndio unasema ni nyumba ndogo...[emoji87]
Ila Jf watu mnadharau sana aiseeeee....
Mimi sio mpenzi wa ghorofa, ukizeeka tabu, ukiumwa tabu sitakiUjenzi wa sasa ni gharama.
Ukitaka ujenge haraka, jenga nyumba ndogo. Ili iishe haraka...
Lakini mkuu, hospitali nyingi kubwa ni ghorofaMimi sio mpenzi wa ghorofa,ukizeeka tabu ,ukiumwa tabu..sitaki
Sasa kwani watu wanaishi hospital? Harafu kuna lift za umeme sasa sijui utaziweka na kwenye nyumba yako binafsi au?Lakini mkuu, hospitali nyingi kubwa ni ghorofa
Duh wabongo siwawezi kwa nongwa. Yaani ulichukie ghorofa kwa hizo sababu. Kwani ukiwa na chumba chako, sebule yako na jiko chini huko juu ukawaachia wenye uzima say watoto itakuwaje? Miji inatakiwa iwe na maghorofa ili ardhi itumike vizuri sio propaganda za umaskini kama hiziMimi sio mpenzi wa ghorofa,ukizeeka tabu ,ukiumwa tabu..sitaki
Kwani ghorofa Uswazi ina allergy?Unajenga ghorofa halafu miaka michache kitaa kinageuka kuwa uswazi...
Kwani ghorofa Uswazi ina allergy?
Weka liftiMimi sio mpenzi wa ghorofa,ukizeeka tabu ,ukiumwa tabu..sitaki