flyingcrane
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 241
- 88
Watanzania wenzetu wanalia pesa zao zimetiwa mitini na viongozi wao..swali nililojiuliza ni je ingekuwa serikali ya Kenya iko makini kula dili na kuleta fedha hizo Kenya au kula dili viongozi wa Tanzania wawezeke fedha zao Nairobi tungekuwa wapi.. Jiji la nairobi linahitaji kuwezekwa kwa njia yoyote ile
damn ...it is not only VAT na Capital gain Taxzile pesa for your info ni za kampuni ya kufua umeme....kinacholalamikiwa ni kwamba VAT (18%) na kodi zingine hazikulipwa. kinachogombewa na kulalamikiwa ni hicho si kusema zote ni za watz....za watz ni kodi tu.
surplus ipi wakati walikuwa hawakubali wapunguze ngapi katika malipo na madai hayakuwahi kufika hata mahakamani?
zile pesa for your info ni za kampuni ya kufua umeme....kinacholalamikiwa ni kwamba VAT (18%) na kodi zingine hazikulipwa. kinachogombewa na kulalamikiwa ni hicho si kusema zote ni za watz....za watz ni kodi tu.
hasa kma hazikuwa za watz y walizitoa bila mdai na mdaiwa kukubaliana? na je hata km ni hvyo kwn fedha hyo ilipaswa kukwapuliwa na watu. najiuliza swali km ikitokea tanesco wakashtakiwa c watz ndio tutailipa! tuwe wazalendo tuache kuwatetea wezi.