Kama Petro Magoti Mkuu wa Wilaya Kisarawe, Jaffo asigombee, Ubunge achukue Kingwendu....wana Kisarawe watakuwa wanapasuka mbavu kila siku

Kama Petro Magoti Mkuu wa Wilaya Kisarawe, Jaffo asigombee, Ubunge achukue Kingwendu....wana Kisarawe watakuwa wanapasuka mbavu kila siku

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Kama hii line up ikitiki, nadhani Kisarawe itatosha kutengeneza content wanazopenda watanzania, ila mpaka karata za kisiasa ziende sawa, wote tuseme ameen.

Sasa ole wenu watumishi msiojua kubana cheko zenu vikaoni

Screenshot_20240719-093255.jpg
 
Back
Top Bottom