Kama PM haifunguki inaandika Conecting, Update browser yako au Chrome

Kama PM haifunguki inaandika Conecting, Update browser yako au Chrome

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Kama unapata shida Kufungua PM inaandika connecting ebu Fanya hivi

Update crome yako au browser
 
Ila wahaya, kujikuta nshomile🤣🤣🤣
Lakini si kuna kipindi cookie na Maxence Melo walikuwa wanahojiwa na BBC kuhusu hili suala na tukakubaliana ku update browser zetu?

Kwanza kwa Mtanzania kutumia app yoyote bila kuupdate ni dalili tosha ya uchawi
 
Back
Top Bottom