Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Marekani na NATO kumpeleka vifaa na mitambo ya kivita Poland haitapelekea baadaye Urusi kuivamia Poland?
Kama Mrusi ameweza kuizingira Ukraine na kilichobaki ni majeshi kunyoosha mikono tu kisha atangaze wananchi wakimbizi warudi nyumbani maisha yaendelee.
Hatua itakayofuata ni kuivamia Poland kwakuwa itakuwa hatari kwa usalama wa URUSI?
Poland wajiongeze wasimsikilize Mmarekani. Siku akivamiwa atawatosa kama alivyofanya kwa nchi ya Ukraine.
Asisingizie sijui Ukraine hayuko NATO, alivyoweka maabara za kiutafiti za silaha za kibaiolojia Ukraine alikuwa member wa NATO?
Nchi zote ambazo US alipeleka wanajeshi ziko NATO?