Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Binafsi sioni umuhimu wa kuwa na bandari. Kama bandari inatoa ajira hata tukiiuza mwekezaji ataajiri pia.
Kama Watanzania tulipaswa kuwa na unafuu wa katika manunuzi ya bidhaa kuliko nchi nyingi za magharibi ambazo hazina bandari.
Kwanza ndio tunamiliki, pili geographical factors, kwamba bidhaa zikifika bandarini zinaingia sokoni Kariakoo Moja kwa moja tofauti na nchi zingine ambazo kuna gharama zingine za usafirishaji.
Lakini kinyume chake ni aibu. Madereva wa malori na Watanzania wengine wanaosafiri bidhaa kama simu , TV wanakwenda kununua nchi ambazo bidhaa zao wanapitisha bandari zetu ili kupata unafuu.
Bandari iuzwe tu kama CCM imeshindwa kudhibiti kodi.