Kama Rais wa Ivory Coast mwenye miaka 83 anagombea tena Urais, Mbowe ni nani Hadi aachie Uenyekiti na miaka 63?

Itakuwa aibu bwana Mwenyekiti Mbowe kukimbia vinyago alivyocuonga mwenyewe na kukabidhi chama Kwa wahuni na vibaraka wa Mabeberu.

Wazee wanagombea huko Ivory Coast mara ya 4 sembuse wewe Mbowe kijana una Nguvu harafu mbichi kabisa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Twende kazi Mwamba Mbowe ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://x.com/ReutersAfrica/status/1877319595381436905?t=eb9BYkl7TfX76c4wXzHBNA&s=19

Huyo wa Rais wa huko licha ya kuwa na miaka 82 ni mtu mwema, siyo mwizi Dikiteta Mbowe, tofauti yake na mbowe ni kubwa sana, kumbuka Mbowe yeye ni mwizi wa pesa za chama anapenda Rushwa ya ngono kwa viti
 
Ivory coast inahusiana vipi na Tanzania?

Tundu Lissu yeye analinda legacy ya mbowe asiwe kama mugabe kutoka mpigania uhuru hadi kuwa dikteta.
 
Kibaraka wenu amewaambia aliiba Shilingi ngapi?
 
Ivory coast inahusiana vipi na Tanzania?

Tundu Lissu yeye analinda legacy ya mbowe asiwe kama mugabe kutoka mpigania uhuru hadi kuwa dikteta.
Tunalinganisha hoja ya umri maana mnasingizia uzee
 
Itakuwa aibu bwana Mwenyekiti Mbowe kukimbia vinyago alivyocuonga mwenyewe na kukabidhi chama kwa vibaraka wa Mabeberu.

Wazee wanagombea huko Ivory Coast mara ya 4 sembuse wewe Mbowe kijana una Nguvu halafu mbichi kabisa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Twende kazi Mwamba Mbowe

View attachment 3196648
Kweli kabisa, mwamba aendelee hadi awe kร ma Trump.
 
Mfahamu sultan ibn mbowe king'ang'anizi.
IMG-20241206-WA0083(1).jpg
 
Itakuwa aibu bwana Mwenyekiti Mbowe kukimbia vinyago alivyocuonga mwenyewe na kukabidhi chama kwa vibaraka wa Mabeberu.

Wazee wanagombea huko Ivory Coast mara ya 4 sembuse wewe Mbowe kijana una Nguvu halafu mbichi kabisa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Twende kazi Mwamba Mbowe

View: https://x.com/ReutersAfrica/status/1877319595381436905?t=GVDVLwkSqRFgTioS0HDcdg&s=19

Wewe uliyeandika una miaka mingapi? Unaona ni sawa mtu wa miaka 83 kugombea urais? Nilitegemea upinge kumbe unaunga mkono. Una ujinga mwingi kichwani. Angalia kijana wa miaka 36 huko Burkina Faso anachofanya.
 
Wajumbe ndio wanaamua.
 
Itakuwa aibu bwana Mwenyekiti Mbowe kukimbia vinyago alivyocuonga mwenyewe na kukabidhi chama kwa vibaraka wa Mabeberu.

Wazee wanagombea huko Ivory Coast mara ya 4 sembuse wewe Mbowe kijana una Nguvu halafu mbichi kabisa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Twende kazi Mwamba Mbowe

View: https://x.com/ReutersAfrica/status/1877319595381436905?t=GVDVLwkSqRFgTioS0HDcdg&s=19

Machawa mnajali matumbo yenu wananchi wanajali nchi. Tatizo hapa ni sera mpya za wagombea sio umri. Acheni uchawa wenu wa CCM wekeni taifa mbele au nyamazeni. Mama Samia mbona ni mkubwa kuliko Mbowe kwa mwaka moja na miezi
 
Nyie vibaraka wadogo mnajali matumbo ya nani?

Wapiga Domo na wenye pesa nani Wana Msaada Kwa Wananchi?
 
Back
Top Bottom