Kama Rais wa Ivory Coast mwenye miaka 83 anagombea tena Urais, Mbowe ni nani Hadi aachie Uenyekiti na miaka 63?

Huyo wa Rais wa huko licha ya kuwa na miaka 82 ni mtu mwema, siyo mwizi Dikiteta Mbowe, tofauti yake na mbowe ni kubwa sana, kumbuka Mbowe yeye ni mwizi wa pesa za chama anapenda Rushwa ya ngono kwa viti
 
Ivory coast inahusiana vipi na Tanzania?

Tundu Lissu yeye analinda legacy ya mbowe asiwe kama mugabe kutoka mpigania uhuru hadi kuwa dikteta.
 
Kibaraka wenu amewaambia aliiba Shilingi ngapi?
 
Ivory coast inahusiana vipi na Tanzania?

Tundu Lissu yeye analinda legacy ya mbowe asiwe kama mugabe kutoka mpigania uhuru hadi kuwa dikteta.
Tunalinganisha hoja ya umri maana mnasingizia uzee
 
Kweli kabisa, mwamba aendelee hadi awe kΓ ma Trump.
 
Wewe uliyeandika una miaka mingapi? Unaona ni sawa mtu wa miaka 83 kugombea urais? Nilitegemea upinge kumbe unaunga mkono. Una ujinga mwingi kichwani. Angalia kijana wa miaka 36 huko Burkina Faso anachofanya.
 
Wajumbe ndio wanaamua.
 
Machawa mnajali matumbo yenu wananchi wanajali nchi. Tatizo hapa ni sera mpya za wagombea sio umri. Acheni uchawa wenu wa CCM wekeni taifa mbele au nyamazeni. Mama Samia mbona ni mkubwa kuliko Mbowe kwa mwaka moja na miezi
 
Nyie vibaraka wadogo mnajali matumbo ya nani?

Wapiga Domo na wenye pesa nani Wana Msaada Kwa Wananchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…