Kama Rais wa US Donald Trump anapinga harakati za Ushoga nani yuko nyuma ya ajenda uhamasisho mkubwa wa hii kitu duniani?

Hayo ni maliberali, yenyewe hayaamini katika maadili linapokuja swala la matumizi ya utu wako
 
Atapingaje mfumo ambao umemuweka hapo madarakani

Mambo mengi ambayo Trump anayapinga/anayakubali Iko kinyume chake
 
Una elewa maana ya asili lakini ?
 
Kuna andiko niliandika mwanzoni mwa mwaka 2022 ila likafutwa juu kwa juu! Ila nilielezea mashirika hayo na namna yanavyopata pesa pamoja njia za ku-push programu zao. Niliona kama nimepiga pabaya! Nikaachana nayo!
 
Kuna watu wanapenda sana KUBOMOLEWA MARINDA, waache tu wainjoi.

Hogo linavyopita kwenye mtaro ni balaaa unaweza kuzimia kwa raha.

Hogo linatifua kona zote, likichomoka unabaki mdomo wazi kama pimbi.

Cc: Poor Brain
It means wewe ni miongoni mwao au? Maana umeelezea kwa hisia sana
 
Unatakiwa uelewe mfumo wa US, kuna msimamo wa serikali na wa rais. Serikali ya US ikisema wana support na marais wote watakap kuja wata support hata kama hawapendi
Wanaotaka ni wananchi wenyewe supported na serikali. Na hilo liko kwenye sheria zao
 
Mawakala wa shetani wakiongozwa na waliberali hasa wa chama cha democrats cha marekani..
Wamejipenyeza kila sehemu.
  • wanapiga sana vita ndoa ile traditional wedding (man & woman)
  • wanapromote sana abortion
  • wanapromote sana ushoga na ndoa za jinsia moja (wanajua ndoa hizi haziwezi kuleta watoto)
  • kupromote umalaya na pornography (mtu ukishiakuwa addicted na hivi vitu ni ngumu sana kudumu kwenye ndoa)

Nafikiri lengo ni kupinga lile agizo la Mungu "enendeni mkaijaze dunia..."
 
Waarabu, hawa hautasikia wakipinga wakati maeneo yote yenye utamaduni wao hiyo husema ni "sunna".
 
Unatakiwa kuelewa Trump analipinga hilo jambo kisiasa sababu ndo sera ya chama chake (Republican).Democratic wanasupport mapenzi ya jinsia moja.Ingawa kiuhalisia kwa nchi kama marekani hiyo ishu ni legal.So unaweza kukuta hata trump mwenyewe binafsi sio anti-gay kama unavyodhania.Lakini hili jambo la ushoga duniani liko very complicated maana tangu kipindi cha sodoma na gomora lilikuwa limetamalaki sana mpaka Mungu akashusha moto.Nilichoka niliposoma hata spartans tunaowaaminia walikuwa ngangari,wengi walikuwa wanakulana kutengeneza military bond.Sheria kali inaweza kupunguza jambo hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…