Kama SANDA ndo brand mbona haipo logo ya SANDA kwenye maduka yao?

Kama SANDA ndo brand mbona haipo logo ya SANDA kwenye maduka yao?

Subirini baada ya miaka 10 ndio mrejee kwenye mafanikio... Kwa sasa tulieni
 
Akili kichwani.
Hisia moyoni.
Vaa usivae utajua wewe mwenyewe,ila kuna mambo yakipuuzi sana simba hivi hawakutazama kwa jicho pili??
Ina maana wewe ndio unajua sana kuliko huyo Sandaland anayeilipa 4 Bilion Simba Sports Club kila mwaka???
 
Naona kuna watu mnajifanya machizi siku hizi wakati wewe unaendelea kulalamika wenzako wanaingiza pesa kama jezi sio nzuri si usinununue kwani lazima
 
Kijana kwa hiyo neno SANDA tu ndo linakupa kiwewe hadi unaanzisha nyuz mitandaoni
 
Msimu huu kila shabiki na mwanachama wa Simba lazima avae jezi yenye jina la SANDA! No way out.
 
Back
Top Bottom