B BABA BOMBASTIC Senior Member Joined Jul 10, 2024 Posts 146 Reaction score 246 Jul 26, 2024 #1 Akili kichwani. Hisia moyoni. Vaa usivae utajua wewe mwenyewe,ila kuna mambo yakipuuzi sana simba hivi hawakutazama kwa jicho pili?
Akili kichwani. Hisia moyoni. Vaa usivae utajua wewe mwenyewe,ila kuna mambo yakipuuzi sana simba hivi hawakutazama kwa jicho pili?
Ahyan JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 2,310 Reaction score 5,482 Jul 26, 2024 #2 Subirini baada ya miaka 10 ndio mrejee kwenye mafanikio... Kwa sasa tulieni
Madihani JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 6,154 Reaction score 7,083 Jul 26, 2024 #3 Pole sana
Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 16,464 Reaction score 35,629 Jul 26, 2024 #4 BABA BOMBASTIC said: Akili kichwani. Hisia moyoni. Vaa usivae utajua wewe mwenyewe,ila kuna mambo yakipuuzi sana simba hivi hawakutazama kwa jicho pili?? Click to expand... Ina maana wewe ndio unajua sana kuliko huyo Sandaland anayeilipa 4 Bilion Simba Sports Club kila mwaka???
BABA BOMBASTIC said: Akili kichwani. Hisia moyoni. Vaa usivae utajua wewe mwenyewe,ila kuna mambo yakipuuzi sana simba hivi hawakutazama kwa jicho pili?? Click to expand... Ina maana wewe ndio unajua sana kuliko huyo Sandaland anayeilipa 4 Bilion Simba Sports Club kila mwaka???
Superintendent kimura JF-Expert Member Joined Feb 24, 2023 Posts 333 Reaction score 1,316 Jul 26, 2024 #5 Naona kuna watu mnajifanya machizi siku hizi wakati wewe unaendelea kulalamika wenzako wanaingiza pesa kama jezi sio nzuri si usinununue kwani lazima
Naona kuna watu mnajifanya machizi siku hizi wakati wewe unaendelea kulalamika wenzako wanaingiza pesa kama jezi sio nzuri si usinununue kwani lazima
M mkumi2024 Senior Member Joined Jun 6, 2024 Posts 120 Reaction score 107 Jul 26, 2024 #6 Kijana kwa hiyo neno SANDA tu ndo linakupa kiwewe hadi unaanzisha nyuz mitandaoni
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 27, 2024 #7 Yagangwe yajayo... Cc: Mahondaw
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Jul 27, 2024 #8 Msimu huu kila shabiki na mwanachama wa Simba lazima avae jezi yenye jina la SANDA! No way out.