Una hoja usikilizwe....[emoji817]Si kwa nia mbaya maana nilisema hivi huko nyuma wakati anaondoka madevu simba
na leo narudia tena kama matola bado yuko simba mtabadili kila aina ya kocha na hamtafanikiwa ...kama mlimpeleka shule aje kuwa kocha mkuu mtavuna mlichopanda
naomba muweke hili kwenye kumbukumbu yaan akija yoyote mpya na matola yuko pale mmeumia....
kila la heri mnyama
Anatoka KigomaKwani ana shIda gani? Acha uchoyo na chuki na uheshimu ugali wa mwenzako