Katika reform ya elimu yetu ambayo inakwenda kuanza soon wasisahau kuweka somo la bodaboda huko sekondari.
Bodaboda ni nyanja iliyoajiri vijana zaidi ya milioni 1. Ndio sekta iliyobeba vijana wengi kuliko sekta zote nchini.
Baadhi yetu tulikuwa tukiisihi serikali kuwaondoa vijana kwenye hii ajira isiyo na bima ya afya wala hifadhi ya jamii lakini vijana wenyewe wahusika wakasema bodaboda ni kazi kama kazi zingine, wanasomesha private, wanahudumia familia zao n.k.
Sasa itakuwa jambo la hovyo sana kama serikali itashindwa kuwaandaa bodaboda wengine mashuleni kwa kuwapa vijana somo rasmi la bodaboda.
Hakuna namna, somo la bodaboda liwe la lazima mashuleni.
Tatizo la vijana wa kizazi cha CCM ya Samia na Waasira wanadanganywa sana na mambo mawili Udini na Rushwa.
Rushwa kwa wale wasio na hisia za kumuunga mkono mtu kulingana na Dini yake . Rushwa ya pesa na madaraka kwa sababu ya njaa.
Yaani serikali ndiyo inayoleta tatizo kisha inalitatua kwa rushwa ili waliopata pesa wawe wa kwanza kuwasaliti wenzao na hata kuwauza .
Yesu alisalitiwa kwa mbinu ya pesa baada ya mbinu ya kidini kukwama . CCM ni janga kubwa sana.
Magufuli wakati anafariki Bei ya pikipiki ilikua ni shi. 1,800,000/- mpaka Tsh. 2,100,000/- Waendesha boda boda walitoa sh. 20000 tu kwa mwaka kama wajasiria mali .
Bajaji ilikua sh..6,000,000/- walitoa sh.20000/- tu kama tozo ya mjasiriamali kwa mwaka mzima na kupata kitambulisho . Pesa zilizopatikana zilikenga stand za kisasa ,masoko ya kisasa na hospitali .
Maguta yalikua ni sh..3,500,000/
Vijana wananunua boda boda na bajaji wakaanza biashara na kuziendesha maisha yao. Japo baadhi ya wapinzani waliwakejeli kuwa ni biashara ya laana . Lilikua ni kosa kubwa sana.
Hebu tuangalie Utawala wa Dr .Samia aliyejaza watu wa kwake maarufu kama machawa kwenye mitandao kuwatukana mpaka maaskofu na manabii. Achilia mbali wapinzani bila hata aibu .
Baada ya kuona Pikipiki zinaagizwa kwa wingi na wafanya biashara wakubwa wanatafuta utajiri wa haraka haraka na serikali inatafuta kodi ya kuwakamua wanyonge ili matajiri na wakubwa waishi maisha ya starehe kwa kutupia kodi kwa walalahoi ghafla kodi ,ushuru na kila aina ya tozo ikapelekwa kwenye bodaboda na bajaji ili tu vijana waendelee kuishi maisha yasiyo na kipato cha uhakika wabaki kama machawa na wasiojitambua .
Bei ya Pikipiki kwa sasa ni zaidi ya mil. 2800000 mpaka Tsh.3,000,000/-
Bajaji imefika Tsh. 13,000,0000/- kutoka mil. 6.
Guta limefika mil. 7. Kutoka mil. 3.5.
Soko sasa ni la spear kutoka China . Vijana wanakimbizana na upepo kupata pesa za kulipa mi. 13 za bajaji ili sasa Aanze kutafuta faida ,Vijana bila kujua wanaifanyia kazi serikali imiyowanyima ajira na Wafanyabiashara wakubwa wanaoagiza spear na pikipiki ,bajaji na maguta .
Huu ni unyama mkubwa sana .
Kama mzalendo wa nchi hii ninamshauri Tundu Lisu akiingia Madarakani apunguze kodi ya Pikipiki,bajaji ,maguta au aifute kabisa ili vijana wapate faida kubwa kwenye biashara ya boda boda .
Lakini wakishapata faida kubwa wajiunge kwenye vikundi na kukata bima ya afya na bima ya maisha na vyombo hivyo bila kusahau Leseni za udereva kwa ajili ya uhalali wa kazi hiyo wanapokuwa barabarani kama takwa la kisheria .
Kwa unyonyaji huu wa CCM wanaonekana kuwa wanawapenda bodaboda kwa sababu tuna vijana wasiotafakari sawasawa na kujua jinsi CCM na serikali yake unavyowaumiza kwenye bei ya vipuri na vyombo vyenyewe utafikiri kuna bodaboda tunazotengeneza wenyewe ili kuzuia za nje .
Kodi ni kuna na bai ya bodaboda ni kubwa .
Bei ya mafuta ni kubwa na bei ya matibabu ni kubwa na vijana hao wa bodaboda hawana bima ya afya wala kwenye pikipiki zao. Matokeo yake wamekua wakijihusisha na uhalifu na uvunjifu wa sheria na kukimbia au kufa au kuua watu kwa makundi kutokana na hasira ya maisha magumu yanayotengenezwa na CCM .