Kama Serikali yenu sikivu imehamia Dodoma, iweje bwana Mchechu mnamuangalia tu anahamisha Ofisi ya Msajili wa Hazina kwenda Morocco Square?

Kama Serikali yenu sikivu imehamia Dodoma, iweje bwana Mchechu mnamuangalia tu anahamisha Ofisi ya Msajili wa Hazina kwenda Morocco Square?

Janja weed

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2020
Posts
3,000
Reaction score
5,606
Ikumbukwe taasisi nyingi za serikali ziko Dodoma na wengine wamelazimishwa kuhama wakiwa hawana hata majengo, sasa huyu mpigaji Nehemia Kyando Mchechu anapata wapi uhalali wa kuhamia Morocco Square badala ya kwenda Dodoma, na ikumbukwe mpigaji huyu alikua Mkurugenzi Mkuu wa NHC wamiliki wa hapo anapohamia, Fishy Smell.
 
Huyu alikuwa anajilipa mshahara mkubwa Hadi magufuli alitetemeka....
Kama kuna wezi Tanzania huyu ni RAISI wao
 
Huyu alikuwa anajilipa mshahara mkubwa Hadi magufuli alitetemeka....
Kama kuna wezi Tanzania huyu ni RAISI wao
Aliulizwa kwenye kipindi cha dakika 45 enzi za Magu, kwamba "Naskia wewe umalipwa mshahara mkubwa sana kwa mwezi" Akacheka kwanza halafu akasema "Mimi nafanya kazi saa 15 kwa siku na kuzunguka nchi nzima kuangalia miradi ya NHC"

Sema kipindi cha NHC jamaa ni kama vile aliikuza, tatizo ni mpigaji sana.

Sema binadamu hatutosheki. Huyu jamaa atakuwa trilionea kupitia pesa za Watanzania.
 
Ikumbukwe taasisi nyingi za serikali ziko Dodoma na wengine wamelazimishwa kuhama wakiwa hawana hata majengo, sasa huyu mpigaji Nehemia Kyando Mchechu anapata wapi uhalali wa kuhamia Morocco Square badala ya kwenda Dodoma, na ikumbukwe mpigaji huyu alikua Mkurugenzi Mkuu wa NHC wamiliki wa hapo anapohamia, Fishy Smell. Mitanzania mijinga sana. na Majaliwa yupo tu anapaka picle kichwani.
Thibitisha ofisi kwa picha!
 
Huyu Fisadi, si ndo mkewe alisema huwa haombi ruhusa kwake, ila anatoa taarifa tyuuh?
 
Back
Top Bottom