gabby jacoby
Member
- Dec 12, 2018
- 45
- 154
Mtateseka sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani wana hoja basi. Ni wanaumia tu na wanachokiona.Sare ya 1 kwa 1 kivipi? Kwahiyo Moloko ule mkono aliosukumwa sio faulo? Kama kusukumwa sio.faulo basi hata ya Geita wapewe goli lao kwenye mechi dhdi ya Simba. Mbona goli la makambo unalitoa wakati kwenye marudio inaonesha kabisa hakuna mgusano wowote kati ya makambo na kipa. Na pia kipa hakuukamata mpira. Acheni ushabiki na chuki za kitimu.
Nme amua kumu ignore tuhujajibu ulichoulizwa. na leta takwimu ya penalty Kati ya hizi timu mbili huu msimu. Simba imepewa ngapi na Yanga ngapi?