Kama si Muungano Zanzibar ingekuwa mbali sana

Kuna maendeleo gani makubwa Rwanda,Burundi?hizi nchi ni ndogo kuriko Mkoa wa Kagera.
America ina majimbo Mengi makubwa,jimbo moja ni Sawa na nchi kama TZ,mbona Kuna maendeleo makubwa?
Ukubwa wa nchi na udogo wa nchi sio kigezo Cha maendeleo,China,Korea,ni nchi kubwa kwa eneo na zimeendelea,
Inawezekana kwako wewe muungano hauna maaana,lakini kawaulize wazenj wenye biashara zao za hotel,kuanzia Dodoma,Mafinga,Njombe,Dar ndio wapo kibao wanaendesha maisha,
Huku Dodoma ni jirani zangu,wamenunua viwanja,wamejenga,wapo na familia zao,wengine wameoa na kuolewa huku,
 
Mie nafikiri awasaidie tu kujipapatua siyo tu kutoka ktk muungano bali mvunje na awapapatue kwenye uzanzibari ili msiwepo kwenye nchi, wala, mkoa, wala wilaya, wala tarafa, wala kata, wala kijiji, wala kitongoji, wala mtaa! Mbakie mnaishi kikaya tu mpambane na hali zenu! Na mkishindwa kushirikiana kama wana kaya basi muishi kimwenyewemwenyewe tu kana dume la nyani maana ninyi ni wabinafsi to the core mfyuuuuuu 😡!
 
Zanzibar inategemea bajeti yake kutoka bara, umeme na mengi mengine. Sijui Zanzibar ingekuwaje kama sio muungano uliopo.
 
Aloo kama mnaweza hilo itakuwa mmefanya jambo la maana sana sana,msiishie hapo mrudishe na kilomita kumi za ukanda wa pwani,kudadadeki ,yaani asubuhi yake mtasikia chereko chereko ,Zanzibar hioo inapaa mnabaki midomo wazi.
Kwa mkataba upi ???fanyeni kazi wapuuzi nyinyi kazi kukaa vibarazani na kuanza kusema wapita njia na dini yenu ya kurithi na mapokea hiyo.
 
Bila Muungano mmengeuana kama kuku na akili zenu za sisi Wapemba wao Waunguja.
Mabaguzi sana nyie mijitu.
Nyerere aliwahi nukuliwa akisema angekuwa na uwezo hivyo visiwa angevisogeza mbali kabisa na yeye... Kwa akili yako unajua alimaanisha nini?
 
Nyerere aliwahi nukuliwa akisema angekuwa na uwezo hivyo visiwa angevisogeza mbali kabisa na yeye... Kwa akili yako unajua alimaanisha nini?
Ni hatari kwa usalama wetu. Yaani hapo ndio lingekuwa lango la Alshabab.
 
Msigwa wa Habari Maelezo akumbushwe kwamba Watanganyika bado wako wakisubiria ile ahadi yake ya kumleta mtaalamu wa kero za Muungano kutufafanulia mambo waliyotiliana sahihi Tanganyika na Zanzibar.
 
So dini ya haki inaruhusu haya

USSR
 
Nadhani hujaileta hii kwa nia njema.
Hadi nafasi zisizo za muungano wamepewa wazanzibari, umeme sidhani kama deni limeshalipwa. Jiondieni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…