Simba inajipanga 2022/2023 kuishia robo fainali..!!!uto tulieni dawa iwaingie.
simba inajipanga kimataifa 2022~2023
uto tulieni dawa iwaingie.
simba inajipanga kimataifa 2022~202
Tatizo unatuwaza sana hata mambo yasiyo tuhusuuto tulieni dawa iwaingie.
simba inajipanga kimataifa 2022~2023
Yanga inajipanga kitaifa kuishia kuchukua kombe la NBC.Simba inajipanga 2022/2023 kuishia robo fainali..!!!
Inajipanga au imeshalichukua?Yanga inajipanga kitaifa kuishia kuchukua kombe la NBC.
Mpole atakua sawa kwasababu anatafta pesa, lakini watakaopata hasara ni Simba kwa kusajili mchezaji ambaye hatakua na faida kwao.Mpole akikubali wkenda kwenye moja ya hizi timu za Kariakoo itakuwa katanguliza tamaa ya kipato kuliko kuangalia hatma yake binafsi.
Mpole kwa sasa angebaki alipo au kwend Timu kama Namungo, Azam au Singida ambapo atacheza akiwa stress free na huku akipata uzoefu zaidi na kuonesh alichonacho ikiwezekana hata baadae akacheze nje ya nchi.